Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977 yenye marekebisho madogo,nimeona katika kifungu namba 34 ibara ndogo ya sheria 4 na 5 yenye kipengele a na b,nimepata ugumu kufahamu naomba...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Sijui kama leo unaweza kuwa na wazo kama la Masoud kutaka kuzalisha kitu chochote cha kiubunifu na serikali yetu pendwa ikakuunga mkono kwa support kama wanayopewa wawekezaji wengine, sijui...
1 Reactions
4 Replies
675 Views
Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Inakuwaje zaidi ya mara tatu naota napigana na mshua😂, yaani tunapigana sana na mawe wakati mwingine namhurumia lakini na yaye ananitupia mawe inabidi na mimi nimrushie. Yaani tunapigana sana 😭...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Naomba msaada Huyu mtu kaiba mali ya kutosha Plant. Carbon zenye Dhahabu atakayemuona naomba tuwasiliane 0744419100 Kuna zawadi nono itatolewa. Sehem Carbon zimeibiwa na Majengo, sangambi chunya...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka. Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa...
42 Reactions
149 Replies
10K Views
Hapa nitaongea kwa ufupi sana na hii mada inawahusu mafundi wa aina zote hasa wale wanaokuja majumbani au maofisini kufanya matengenezo fulani kuanzia mafundi ujenzi, wapakaji rangi, fundi umeme...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini. Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Huwa nasema kila siku humu, CCM mtaji wao mkuu namba moja ni Ujinga wa hili taifa na pili na umasikini. Bodaboda ni watu wanatumika kisiasa sana na kwa sababu ya kiwango chao cha juu cha ujinga...
13 Reactions
73 Replies
4K Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya inamshikilia SHABAN MUSA ADAM (54) mkazi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kutengeneza dawa za kulevya. Akiongea na Wanahabari Mkoani Dar...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Naanza kuamini kwamba mwendokasi ulikuwa uongo mwingine wa wanasiasa, kwamba wanataka kuondoa kero za usafiri jijini kwa ajili ya wananchi. Hizi barabara zilitengenezwa kwa ajili yao kukwepa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Jana nimegundua quality ya tv imekuwa chini sana nikiwa nachek tbc na itv ,startv,sio kawaida nikajua labda ni tv yangu inashida,nikaona ngoja niende Kwa jiran kuangalia Ili nipate...
3 Reactions
7 Replies
680 Views
Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu! Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa...
19 Reactions
85 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: “Nimetamani kwa miaka mingi kucheza Real Madrid na leo ndoto yangu imetimia" "Nina furaha sana. Nataka kumshukuru Rais Florentino Perez...
1 Reactions
6 Replies
718 Views
Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia...
1 Reactions
0 Replies
479 Views
Just imagine hii ni karatasi ya mtihani wa "MOCK" uliofanyika mwaka huu mwezi May tu hapo, ila hata kabla ya wanafunzi hawajapewa "Marking Scheme" tayari answer sheet yake imeshafika Dar kutoka...
1 Reactions
1 Replies
413 Views
Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea. Hata mimi huwa...
20 Reactions
101 Replies
4K Views
Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe...
1 Reactions
1 Replies
521 Views
Hakuna haja ya salamu. Katika maisha unatakiwa kukimbilia ndoto zako na sio kufuata mkumbo kwamba kila mtu lazima asome sana ndio afanikiwe, wafuatao ni watu walioacha shule leo hii ni mabilionea...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
Ntajaribu kueleza kwa lugha nyepesi ili kila mtu afahamu kuhusu voltage optimization. VOLTAGE OPTIMIZER NI NINI? Ni kifaa ambacho kinasaidia vifaa vyako vya umeme kutumia nguvu sahihi bila...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom