Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe...
1 Reactions
1 Replies
521 Views
Hakuna haja ya salamu. Katika maisha unatakiwa kukimbilia ndoto zako na sio kufuata mkumbo kwamba kila mtu lazima asome sana ndio afanikiwe, wafuatao ni watu walioacha shule leo hii ni mabilionea...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
Ntajaribu kueleza kwa lugha nyepesi ili kila mtu afahamu kuhusu voltage optimization. VOLTAGE OPTIMIZER NI NINI? Ni kifaa ambacho kinasaidia vifaa vyako vya umeme kutumia nguvu sahihi bila...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa? Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?
23 Reactions
282 Replies
39K Views
Wizara ya Ardhi inakushauri usijaribu kufanyia lamination hati yako ya umiliki wa ardhi kwa sababu inaweza kukwamisha wakati wakuuza ardhi husika, kukopa au kufanya transfer yoyote. Ndugu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Anonymous
Naandika hii kwa masikitiko sana kwani tangu tumekuwa tukiripoti yanayojiri shule ya msingi Mugundu ilioko wilaya ya Iramba kata ya Kyengege mkoani Singida hakuna hatua yoyote inayochukuliwa...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari za jioni waumini.... Zifuatazo ni nukuu au maandishi yaliyomo katika vitabu viwili vitakatifu. Yesu alikuwa amelala akiegemea mto sehemu ya nyuma kwenye ile mashua, Wanafunzi wake...
18 Reactions
447 Replies
9K Views
1. Emotional Decision/Logical decision 2. Art ot being alone 3. The power of belief 4. Everything matter 5. How to sell a pen
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa...
2 Reactions
2 Replies
584 Views
Je , kuna mtu alikuwa hai kabla ya kutungwa tumboni mwa mama yake?
3 Reactions
34 Replies
994 Views
Nina kero yangu ya muda mrefu sana, mimi ni muajiriwa lakini pia ni mfanyabiashara ambaye nimefungua duka la vinywaji kwenye Soko la KIGILAGILA lililopo Kata ya Yombo Kiwalani Wilaya ya Ilala, Dar...
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla...
0 Reactions
5 Replies
606 Views
Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha: 1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize...
0 Reactions
57 Replies
2K Views
tuna mchanga umekaa tu jangwani,kwanini wanaohusika wasiuze kwa wajengaji na wanunuaji. Mchanga mzuri na utaingiza pesa,pamoja kuufanya mto wetu pendwa wa Msimbazi uwe na kina kirefu wakati huu...
5 Reactions
8 Replies
630 Views
Papa Francis amesema Jahananu haipo! Alipoulizwa wanaokufa na dhambi wanakwenda wapi, akajibu: Wanapotea angani na hakuna adhabu wanayopewa. Does Hell Exist? Pope Francis Says No In New Interview...
0 Reactions
157 Replies
29K Views
Hello! Binafsi Mimi ni mkristo (Charismatic Christian), mlokole. Hapa sizungumzii dini ipi au dhehebu lipi ni bora au sahihi mbele za Mungu. Nazungumzia watu bora katika jamii waluofanywa na...
15 Reactions
86 Replies
4K Views
Polisi wamesema wanamshikilia mwenye duka Hilo bila kumtaja Kwa madai ya sababu za kiuchunguzi. ==== A woman named Faraja Bembela, 28, a resident of Lusisi village in Tanzania and a grocery...
0 Reactions
5 Replies
684 Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wakazi 11 wa Ifakara Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni sita kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtoto huyu anaitwa Sabrina Issa Shaban anasoma shule ya msingi Msigani darasa la tatu jana majira ya saa 13:000hrs mchana alikuwa anatoka shule kurudi nyumbani lkn hajafika nyumbani kwao hadi...
1 Reactions
4 Replies
523 Views
Kuuliza si ujinga. Nakumbuka mara ya pili walitangaza kujenga barabara Ubungo Kimara. Watu waoga wakavunja mpaka leo hii ile njia haijajengwa. Sasa kuna hii njia ya kmr bonyokwa tunapenda sana...
0 Reactions
2 Replies
571 Views
Back
Top Bottom