Habari za asubuhi Waheshimiwa viongozi wangu. Nimefarijika kuona taarifa mpya kutoka serikalini kuhusiana na "digital marketing".
Ushauri wangu kwenu na kwa walengwa wengine katika sekta ya...
Habari.
Mimi ni mtumiaji mzuri wa mabus ya masafa marefu kuelekea Mbeya.
Hapo awali nilikuwa naishi Moshi na Arusha . Kwa kweli usafir wa kutoka Kaskazin kwenda Mbeya ulikuwa wa tabu tupu...
Haiingii akilini kuwa serikali impe mtu kibali cha kukopesha wananchi wake ambapo malipo yanapaswa kufanyika ndani ya siku 5, 6 au 7 tu yakiwa na riba ya 35%.
Kama serikali imekubali kazi za...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Water.Org, Eng. Francis Musinguzi kwa pamoja wakionesha mikataba ya ushirikiano mara baada...
Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo ilipelekea tatizo la internet
=================
Umekuwa ukipata shida ya mtandao kwenye hizi siku mbili-tatu ndani ya hii weekend...
“…watu wanauawa hovyo huko…waambieni wanasiasa kwamba vyeo havipatikani kwa kuua watu, kwa kunyofoa viungo…” – Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuguswa na wimbi la utekaji na mauaji ya watoto...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu pamoja na madai kuwa mayahudi wamekuwa wakiua Mitume mara kwa mara, bado Qur'ani tukufu haijataja majina ya mitume hao.
Je ni manabii gani hao ambao Wayahudi...
Ifike mahali hiki kitu kikomeshwe mara moja.
Baadhi ya watumishi kwenye Taasisi za umma ni kero na hawana adabu hata kidogo.
Kuna baadhi ya Taasisi za umma ziko maeneo ya Mkoani au mjini kabisa...
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani...
Wadau mimi nilifungua madai ya NSSF kijitonyama mnano the 1 June 2024, nikaambiwa nisubiri mwezi mmoja nitakuwa nimeingiziwa fedha baada ya ajira yangu kukoma mweI January 2024, sasa tunaelekea...
Awali tuliambiwa kupitia tangazo la DAWASA kuwa maji yanatarajiwa kukatika Jumanne ya Julai 16, 2024 lakini jamaa wakakata huduma siku moja kabla.
Tangu wakati huo (Julai 15, 2024) mpaka muda huu...
Tujadili hili la Wanaume kulala chumba kimoja na kitanda kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani.
Hizi story zipo sana kitaa sema wengi huwa wanafichiana siri tu.
Wanaume kuishi na kulala...
Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Dar es Salaam, Kisutu, leo tarehe 19 Julai 2024, maombi yaliopelekwa na Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Michezo ya Young Africans (YANGA) kwa ajili ya kuongezewa...
Nianze na mfano huu, kuna mtu alikuwa ana umri wa miaka 40's, alikuwa na biashara bahati mbaya ikafa, kwa kupaniki akasema "hakika sasa nitaishi maisha ya shida na familia yangu, na ukiangalia...
DC Hassan Bomboko wananchi tungependa kupata mrejesho wa kampeni yako ya kuwafagia madada poa wote Jijini Dar umefikia wapi?
Ulianza kwa kasi sana kuwasaka hawa raia wenye uchu wa fedha kuzidi...
Chief anasema, wao ndio walinzi wa hii nchi. wanasema wao wanasali kwenye misitu. nimeamin wazungu walikua sahihi waliposema utamaduni wa kiafrica ni wa kishenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.