kutokana na ukosefu wa daladala zinafanya safari za moja kwa moja vituo hivyo hadi kawe abiria wanalazimika kupanda daladala mara mbili ili kufika kawe hali hii imekuwa ikiwaongezea mzigo wa nauli...
Kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto ana uwezekano mkubwa wa kuwa intelligent
Mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zimebebwa...
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.
Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
Nawasalimu nyote.
Umasikini ni laana, tafiti tofauti zinaonyesha umasikini unarithishwa kwa hiyo unatakiwa kukaa ki machale kijana mwenzangu uliezaliwa kwenye familia masikini ili uondokane na...
Kuna mambo mengi sana ambayo Taifa inafanya na inaendelea kufanya ikiwamo uchaguzi ujao.
Lakini sasa ukisikiliza au kutazama vyombo vingi vya habari vingi vinachochea ugomvi na kufanya vitu vya...
Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu.
Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi.
Hakuna mwenye...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri wanafunga maduka ya Wafanyabishara kutokana na kuwadai malipo ya Halmashauri hiyo, ufafanuzi umetolewa na...
Habari wakuu?
Natumai mu wazima wa afya.
Nataraji kufanya safari ya kwenda Ruangwa. Lindi.
Je kutokea Dar es salaam kuna basi la moja kwa moja?
Ahsante sana
Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi.
Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia...
Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano...
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara
Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Manispaa ya Mtwara-Mikindani, wameshiriki katika mafunzo ya utunzaji fedha...
Jf salaam🙏
Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili.
Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee...
Umepanga kutembelea nchi ngapi katika kipindi cha miaka 5 ijayo?
Binafsi, ninapenda sana kusafiri, lakini kwa sababu ya kiwango cha kipato, bado sijazimaliza hata nchi za Afrika Mashariki.
Mpaka...
Wakuu,
Bila shaka humu Jukwaani wengi wetu tumewahi kuishi nchi mbalimbali barani Afrika na nje ya Afrika pia. Binafsi Sijawahi kutoka nje ya Afrika na nimekuwa na shahuku kubwa ya kujua kuhusu...
NANYAMBA YA FIKIWA NA ELIMU YA FEDHA
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara
Katika mji wa Mtwara, ambao unajulikana kwa shughuli za uvuvi na rasilimali za gesi asilia, serikali iliamua kutoa mafunzo ya...
Gaweni kikanda Tanzania bara ni pakubwa sana, mnategemea mtu kutoka Kagera aje Dar kwenye usaili? Mtu kutoka Mbeya huko aje Dar kwenye usaili? Tumieni hekima na busara gaweni kikanda wekeni usawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.