Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,464
- 28,068
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.
Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi mbona ni ngumu kuafford hizi kodi, hizi mtu ambaye anaweza lipa 500k mpka milion anaweza kwenda kupanga Kibamba?
Naona tunakoeekea ni kama hali ya NewYork, kule watu wanalalama kwamba rent ni scam, na maghotofa memgi pale Manhattan hayana wapangaji!
Sasa mtu wa Kimara, Kibamba Madale unapata wapi ujasiri wa kupangisha nyumba kwa laki 5 mpka milion kwa mwezi?