Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna story zinazagaa zagaa juu ya watu kukamatwa wakiwa kwenye harakati za kutekwa watoto, kuna video moja hapa nimeoiona jamaa wamempiga motocwa petroli, ila nasikia wengine walipelekwa polisi...
3 Reactions
7 Replies
528 Views
Hukumu iliyotakiwa kusomwa leo Julai 26, 2024 katika kesi ya jaribio la kuchoma soko la wafanyabiashara la Karume, Kesi Namba 313 ya Mwaka 2023 inayomkabili Christina Elisha na mwenzake Mashauri...
2 Reactions
2 Replies
649 Views
Hakika tumeweza kushuhudia kazi za wauguzi kwa mgonjwa ni za kipekee sana nikafikiria mfano wauguzi wakaaamua kugoma nn kinaweza kikatokea kwa wagonjwa? Je maisha ya wagonjwa yatakuwa hatarini...
0 Reactions
2 Replies
397 Views
Hivi siku hizi ni kwamba utaratibu wa masomo ya wanafunzi wa primary hasa wa la 7? Kwa sababu asubuhi mida ya saa kumi na moja unawakuta wako barabarani wanasubiri usafiri na jioni hadi mida ya...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wazazi, mnashirikiana na shule kuwatesa watoto. Vitoto vyenyewe bado vidogo, miaka 11-13, vinaamshwa saa 10 au 11 alfajiri kuwahi shule. Wanawahi nini exactly? Na bado watakaa shule mpaka saa 12...
50 Reactions
174 Replies
7K Views
It's fine tumeamua kuachana na mijadala inayohusu mstakabali wa maisha yetu tumajikiti kwenye starehe. Vyombo vya habari vimeacha kufanya utafiti na kuja na mada zakuisaidia serikali kufanya...
4 Reactions
10 Replies
943 Views
Habari wana TANZANIA TUITAKAYO. Utangulizi. Ninayofuraha kupata wasaa huu kuandaa andiko langu linalohusiana na mazingira. Neno mazingira limefafanuliwa katika mawanda mapana lakini ngoja...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Utekaji ni kitendo cha uwezo mkubwa maana kinatumika na silahaa za moto ili kukabiliana na endapo kutatokea ubishani kati ya muhusika au wananchi kwenye tukio. Ila cha kushangaza watekaji waliopo...
0 Reactions
2 Replies
813 Views
MBUNGE NANCY NYALUSI ASISITIZA WAZAZI KUONGEZA UMAKINI WA MALEZI YA WATOTO WAO "Tunalala nao, tunakula nao, tunaenda nao shambani; sasa hivi kuna baadhi ya watu roho ya utu hawana tena. Mtu...
1 Reactions
0 Replies
446 Views
Mimi nikiri tu meno yangu yalioza kipindi nikiwa na miaka 12 na no kwasababu nilitafuna sana pipi kidonge japo mpaka sasa natafunia pande zote na sijatoa jino hats moja japo niliendaga hospital...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Wakati mnaanzisha combination zenu zisizoeleweka, tuliwauliza mmejiandaa? Mlipounda tahsusi kama vile Arabic, Music & Sports (ArMS) tuliwauliza serikali imeandaa walimu wa Arabic, walimu wa Music...
1 Reactions
6 Replies
700 Views
Wakuu naomba mniambie logde nzuri safi hapo Dodoma mjini kati.bajeti 30k.
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Imekuwa ni kawaida kabisa uwajibikaji Umekuwa ukifanyika vizuri zaidi pale kitu kinapotokea. Na mara nyingine taratibu mbali mbali zinaanzishwa ili kuhakikisha tatizo halijirudii tena. Lakini...
2 Reactions
3 Replies
299 Views
Nguza Viking na wanae Mahakama hii imetoa hukumu leo hii ambapo Nguza na mwanae wamepewa siku 30 kuwasilisha maombi ya kutaka walipwe fidia na serikali iwapo watataka kufanya hivyo baada ya...
1 Reactions
62 Replies
13K Views
Waganga wa tiba asili wakiongea na viongozi wa serikali leo mjini Sumbawanga wamesema kuwa wachungaji na manabii wa makanisa mengi ni matapeli. Katika mkutano ulliowakutanisha viongozi wa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Mke: Unaenda wapi? Mume: Tazama mchezo kwenye baa. Mke: Kwa nini usitazame pamoja nami? Mume: Nataka kutazama na marafiki zangu. Mke: Kwa hivyo sina chochote kwako? Mume: SAWA SAWA. Ninakaa...
10 Reactions
17 Replies
792 Views
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ilitoa fursa kwa wahitimu wa kidato cha nne wa mwaka 2023 kubadilisha machaguo yao ya masomo wanayotarajia kusoma wanapoendelea na...
1 Reactions
1 Replies
597 Views
Anonymous
Habari, Mabanda ya kuchezesha video games kwa watoto yamezidi. Upi mpango wa Serikali kunusuru hiki kizazi?
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu. Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism. Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Pia soma - Namanga: Mawakala wa forodha pamoja na Wasafirishaji Wagoma
1 Reactions
2 Replies
348 Views
Back
Top Bottom