Nimekopa application ya Umojakopa na Branch. Nitawalipaje?

Nimekopa application ya Umojakopa na Branch. Nitawalipaje?

Habari.

Nimejikuta nimekopa Elfu 10 branch na Elfu 10 umojakopa .

Sasa sijui ntawalipaje na nisipolipa watanifanyaje
IMG-20230407-WA0015.jpg


Umeingia kwenye lindi la utumwa wa madeni. Utaishi maisha ya kukopa ili ulipe na ili ukope tena
 
Unapopata fursa ya kukopa kopa kwelikweli wakuoneee wap hao awana ujanja wa kutambua na kuwabana wakopaji warejeshe madeni nini ten hyo tu ndo wakufatilie wakati kuna mwamba kasepa na bilion 5 Kusikojulikana
 
Jipimie cash hawa niliwakopa 351,000 nilivowalipa wakaniongezea ninaweza kopa hadi 800,000.
Screenshot_20230409-112148.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20230409-112148.jpg
    Screenshot_20230409-112148.jpg
    26.6 KB · Views: 27
Back
Top Bottom