Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Jengo gani la uma au private wanaoruhusu u access Free WiFi
Nina kazi zinazohitaj internet na ni nyingi kwa kweli
Nina kazi zinazohitaj internet na ni nyingi kwa kweli
Gharama ya room ananunua unlimited ya mwezi mzima.Chukua room hapo The Gold Crest Hotel ufanye yako..
nitoe laki na wifi yao iko weak kweliChukua room hapo The Gold Crest Hotel ufanye yako..
zile wifi ni kwa ajili ya wateja walochukua vyumbaNenda Adden Palace! Nunua hata Maji ya Buku Mbili tulia zako pemebni anza kuenjoy free wifi
sina hela nahitaj internet ya kutosha elewaWeka bando
si ndo hapoGharama ya room ananunua unlimited ya mwezi mzima.
😳Au Adden Palace
sh ngap iyo bureTtcl inatoa internet kwa bei nafuu jiunge izo internet za bure zingne zina virus 🦠
Computer yako ije ife kisa vitu vya bure
kheee we jamaNenda Fela kuna internet ya wachina wajenga Reli
Dogo unapenda sana vya bure, kuwa makini..sina hela nahitaj internet ya kutosha elewa