Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 734
- 1,218
Hebu tujadili haya mambo ma3.
Vipi kama tukiondoa
1. Dini (sio IMANI)
2. Siasa (SIO UONGOZI)
3. Media - vyombo vya habari (SIO NJIA ZA KUTUMA NA KUFIKISHA TAARIFA)
JE jamii ya watu wa kubet, kudanga, mashoga, wakesha makanisani, wavaa vimini na milegezo, wazee wa visungura, wazee wanaostaafu hawana hata nyumba wala mbuzi na makundi mengine yangekuwepo