Ukienda china, japan, korea, nigeria, ghana na nchi ambazo mtakuwa mashaidi swala la matumizi ya nyanya sio kapumbele sana kama huku kwetu.
Pili wenzetu ni watumiaji wa pilipili ambazo hapa...
Nimetoka zangu kazini nikaona niende kununua mahitaji kadhaa sokoni.
Ghafla nikaona tunaambiwa na vijana jamani mpishe hii njia kidogo iwe wazi kwa muda, nilidhani labda kuna emergency...
Katika miaka niliyo nayo mpaka sasa sijawahi kukubali kuwa eti kuna uchawi sijui mtu anaweza kuloga sijiui mambo yako yasiende.
Kama kweli uchawi upo kwanini hao wachawi wasiende benki wakaloga...
Nimeona watanzania. Wengi wakilaumu kwamba kwanini sisi sio kama wakenya wenye ujadiri wakupinga waziwazi serikali yako barabarani? Na wengine wameenda mbele wanasema kwanini sisi mazuzu kias hiki...
MAADHIMISHO YA SIKU YA HOMA YA INI KITAIFA KUFANYIKA DAR ES SALAAM
-RC Chalamila awataka wakazi wa Mkoa huo na watanzania kujitokeza kwa wingi
-Asema maadhimisho hayo yanaanza Julai 25 hadi...
Taasisi ya Masuala ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU) imekuwa ikiandaa ripoti za uwajibikaji zenye lengo la kuongeza uelewa wa Wananchi kuhusu mambo muhimu yaliyoibuliwa kwenye Ripoti za Mdhibiti na...
Jana mheshimiwa Rais Samia amezindua rasmi Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambayo Ina majukumu ya Kulinda na kutunza faragha za watu.
Sasa Kuna mtindo umezuka ambapo Online Creditors Wamekuwa...
Kuna wakati ilikuwa ukienda hospitali ikakutwa na maambukizi walikuwa wanakwambia uwape majina ya ulioshirikiana nao tendo hlf wao kwa muda wao wanawatafuta kwa ajili ya upimaji na tiba. Sina...
wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu..
Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza...
Naomba niulize swali kwa watu wazima hasa wanawake. Hivi huwa mnafikilia nini unaposalimiwa na mtu unayemzidi umri mpaka mnashindwa kuitikia?
Unakuta mama mzima analingana na mama yako au...
Jamii Ina stress kubwa za kiuchumi, kimalezi, kimahusiano na za hisia za kurogwa.
Wafanyamazingaombwe, waganga na matapeli jasiri wameiona hii fursa na kujitengenezea vilinge vya kujitajirisha...
Kampuni ya Meta imefuta akaunti 2,500 zilizokuwa zinaendeshwa na kikundi cha watu 20 ambao walikuwa wakifanya utapeli kwa wanaume na watoto chini ya miaka 18 nchini Marekani kwa kuwatishia...
Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023
Matukio ya watoto kufanyiwa ukatili wa kulawitiwa yameongezeka kwa kasi, ambapo watoto 2,382 walifanyiwa ukatili huo kwa mwaka 2023...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2024, Saa 3:20 asubuhi ilipata taarifa kuwa eno la Goba Matosa, Kinondoni kulikuwa na tukio la mauaji yaliyotokana na ugomvi kati ya...
Kwema Wakulungwa.
Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?
Mimi Miaka 87.
Suala la watu kujikuta kwenye madeni sio geni toka miaka maelfu iliyopita. Binafsi nimeshawahi kujikuta kwenye hiyo hali mara nyingi.. unakuta kuna watu binafsi wanakudai, benki rejesho huku TRA...
Three stories to boot:
1. Nokia refused Android
2. yahoo rejected google
3. Kodak refused digital cameras
Lessons:
1. Take chances
2. Embrace the Change
3. If you refuse to change with time...
Soma vzr halafu useme UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?
(Siyo really story)
Una rafiki Yako Ambae tangu uoe hajawahi kumuona mke wako na mnaishi vijiji tofauti tofauti (vya mbali
Habari za smart phone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.