Sisi Mashia siku ya kufa kwa mtume ipo

Sisi Mashia siku ya kufa kwa mtume ipo

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Si kweli Siku aliyofariki mtume HAIPO. Sisi mashia tunaamini siku aliyofariki mtume IPO. Narudia tena ipo na mashia wanaikumbuka, wanavaa nyeusi na Tunalia.

Siku aliyofariki mtume apate Tawfiq aende Najafullah Ashrab akawaone mashia wanavyosongamana pande zote duniani kwenda kumpa Ali kwa kufiwa na kaka yake mtume Muhammad (SAW).

Miaka kadhaa iliyopita katika utawala wa mfalme Salman Saudi Arabia. Kidogo ndiye mfalme ambaye anatumia tumia kidogo akili. Kwa iyo anamahusiano na alitengeneza mahusiano mazuri na mashia.

Kukapatikana kwa karuhusa flani mashia siku ya kufa mtume kwenda Dapie na Madina. Ilibidi maaskari waingilie kati kwasababu ya Fitna ya viongozi wa Sunni wahabi.

Kwasababu mashia wa Saudi Arabia waliporomoka Madina ikajaa kuja kulilia mtume Muhammad siku aliyokufa katika mji wa Madina.

Kwa hivyo si kweli siku aliyokufa mtume HAIPO. Haipo kwa kina "fulani" lakini siyo kwa mashia. Kwa Mashia IPO.

Sheikh wetu kipenzi Hemed Jalala alipokwenda uarabuni 1995 alipoingia msikitini ghafla msikiti umepambwa msikiti mzima umekuwa mweusi rangi nyeusi.

Akauliza kuna nini? Kulikuwa na rafiki yake mweyezi Mungu inshallah ampe Tawfiq atakuwa mtu mzima sasa hivi anaitwa sheikh Muunir Farhat. Akamuambia sheikh Jalala leo ndio siku aliyokufa mtume. Baada ya kuambiwa hivyo sheikh Jalala alilia sana nakusema hakuna siku aliyolia kama hiyo ilikuwa 1995.

Kwamba hawa Mashia wana umuhimu hivi mno na mtume mpaka siku ya kufa wanaijua. Nikawa nairudisha akili yangu nyuma mimi niliyesoma Tanzania, niliyesoma zaidi ya miaka 15 dini sikuona hata siku moja ikifanywa QAUL ya mtume hicho ndio kilikuwa kinaniliza.

Nimelelewa zaidi ya miaka 15 kuna QAUL ya sheikh Ibrahim Muhidhir qauli kubwa wenyewe tunasema qaul tunapenda kufuturu mwezi 15 ramadhani.

Qaul ya sheikh Ibrahim Muhadhir, Qaul ya sheikh Ayoub, qaul ya sheikh Hassan Amir Ashirazi Qauli ya fulani fulani yani zimejaa yani sisi ndo tumeshindwa kufanya qaul ya mtume? Hicho ndio kilikuwa kinaniliza.

Kwa iyo sisi kwetu kwa mashia siku ya kufa kwa Mtume IPO. Haipo kwa kina "fulani" lakini kwetu sisi mashia siku ya kufa kwa mtume IPO na ITAKUWEPO na itazidi na kuendelea KUWEPO.

adriz njiwa Adiosamigo incharge Accumen Mo Teknocrat dronedrake Abou Shaymaa abouba hydroxo Ncha Kali
 
Kaburi la Mtume lipo pale Madina na kila mtu anajua hilo. With that fact, ni jambo la ajabu awepo asemaye siku ya kufa kwa Mtume haipo! Labda kwamba haina maulid kwa walio wengi hapo sawa.
 
Si kweli Siku aliyofariki mtume HAIPO. Sisi mashia tunaamini siku aliyofariki mtume IPO. Narudia tena ipo na mashia wanaikumbuka, wanavaa nyeusi na Tunalia.

Siku aliyofariki mtume apate Tawfiq aende Najafullah Ashrab akawaone mashia wanavyosongamana pande zote duniani kwenda kumpa Ali kwa kufiwa na kaka yake mtume Muhammad (SAW).

Miaka kadhaa iliyopita katika utawala wa mfalme Salman Saudi Arabia. Kidogo ndiye mfalme ambaye anatumia tumia kidogo akili. Kwa iyo anamahusiano na alitengeneza mahusiano mazuri na mashia.

Kukapatikana kwa karuhusa flani mashia siku ya kufa mtume kwenda Dapie na Madina. Ilibidi maaskari waingilie kati kwasababu ya Fitna ya viongozi wa Sunni wahabi.

Kwasababu mashia wa Saudi Arabia waliporomoka Madina ikajaa kuja kulilia mtume Muhammad siku aliyokufa katika mji wa Madina.

Kwa hivyo si kweli siku aliyokufa mtume HAIPO. Haipo kwa kina "fulani" lakini siyo kwa mashia. Kwa Mashia ipo.

Sheikh wetu kipenzi Hemed Jalala alipokwenda uarabuni 1995 alipoingia msikitini ghafla msikiti umepambwa msikiti mzima umekuwa mweusi rangi nyeusi.

Akauliza kuna nini? Kulikuwa na rafiki yake mweyezi Mungu inshallah ampe Tawfiq atakuwa mtu mzima sasa anaitwa sheikh Muunir Farhat. Akamuambia sheikh Jalala leo ndio siku aliyokufa mtume. Baada ya kuambiwa hivyo sheikh Jalala alilia sana nakusema hakuna siku aliyolia kama hiyo ilikuwa 1995.

Kwamba hawa Mashia wana umuhimu hivi mno na mtume mpaka siku ya kufa wanaijua. Nikawa nairudisha akili yangu nyuma mimi niliyesoma Tanzania, niliyesoma zaidi ya miaka 15 dini simona hata siku moja ikifanywa QAUL ya mtume hicho ndio kilikuwa kinaniliza.

Nimelelewa zaidi ya miaka 15 Luna QAUL ya sheikh Ibrahim Muhidhir qauli kubwa wenyewe tunasema qaul tunapenda kufituru mwezi 15 ramadhani.

Qaul ya sheikh Ibrahim Muhadhir, Qaul ya sheikh Ayoub, qaul ya sheikh Hassan Amir Ashirazi Qauli ya fulani fulani yani zimejaa yani sisi ndo tumeishindwa kufanya qaul ya mtume? Hicho ndio kilikuwa kinaniliza.

Kwa iyo sisi kwetu kwa mashia siku ya kufa kwa Mtume IPO. Haipo kwa kina "fulani" lakini kwetu sisi mashia siku ya kufa kwa mtume IPO.

adriz njiwa Adiosamigo incharge Accumen Mo Teknocrat dronedrake Abou Shaymaa abouba
Mbona huja itaja sasa ua na ww huijui ._ Tz Kuna watu wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom