Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Mdau kutoka Arusha naomba kufichua vitendo vya wizi na uharibifu wa miundombinu vinavyoendelea katika maeneo mbalimbali ya pembezoni mwa barabara, hususan barabara zinazoendelea kufanyiwa...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Familia ya Kijana Frank Stanley mwenye umri wa miaka 27 Mkazi wa Bukoba aliyefariki dunia Septemba 02, mwaka huu katika Hospital ya Kanda ya Bugando Jijini Mwanza akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la...
4 Reactions
4 Replies
226 Views
MANZINI, Eswatini. The African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) and the Southern Africa Development Community Organisation of Public Accounts Committees (SADCOPAC) have...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Benki za Tanzania, CRDB Plc na NMB Plc, zimeingia kwenye orodha ya Forbes ya Benki Zinazofanya Vizuri Zaidi Duniani mwaka 2026, zikishika nafasi miongoni mwa benki 500 zilizotathminiwa kutoka nchi...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge. Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu 1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki...
9 Reactions
56 Replies
296 Views
Kuna wimbi kubwa sana la wadada na wamama kuendesha pikipiki hizi za kuchaji kati kati ya miji. Kwangu Mimi naona ni jambo jema lakini wengi wenu hamzingatii kabisa Sheria za barabarani na Nina...
6 Reactions
7 Replies
132 Views
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo leo Sept 16, 2026 ameongoza kikao cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa ardhi katika eneo la Litingi lilipo kata ya Mitengo...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Habarini ndugu. Kwa wanao pafahamu Singida vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natarajia kukaa hapa kwa mwezi mmoja Natanguliza shukran.
8 Reactions
109 Replies
2K Views
●Awasihi Watanzania kuchukua Vitambulisho vyao vya Uraia. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kuchukua hatua za kuwasajili...
1 Reactions
1 Replies
300 Views
Kumekuwa na mkanganyiko wa nauli za daladala zinazotozwa na waedesha/WAMILIKI Daladala mjini Tanga. Kila gari linatoza linavyojifikiria kwa sababu HAKUNA MWONGOZO. Kagueni magari na hakiki nauli...
1 Reactions
0 Replies
68 Views
Anonymous
Kuna kundi la vijana katika Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ambao huwazuia watu wanaoingia kwa magari au pikipiki binafsi kuwapeleka abiria wanaosafiri. Vijana hao, ambao hawana utambulisho...
1 Reactions
8 Replies
163 Views
Watoa huduma za usafiri wa daladala katika eneo la Mnadani jijini Dodoma leo Septemba 16, 2026, wamegoma kutoa huduma, wakilalamikia umbali wa stendi iliyotengwa kwa ajili yao kutoka barabarani...
2 Reactions
1 Replies
110 Views
Hlw Mtaani kwangu fame ilikuwa kubwa sana na sikuwa mtu wa totozi nilikuwa na bebe yangu Moja tu najipoza nayo na haikuwa ya hapo mtaani , videmu vya mtaani vilikuwa vinaniona kama naringa sababu...
7 Reactions
35 Replies
921 Views
Naogopa mimi. Inawezekana watu wanashindana na Mungu pasipo kujua Risasi 16 na hakufa duh 😢 😭
5 Reactions
17 Replies
204 Views
Sijui kama alipitia shule ya uongozi au kufundishwa maana ya uongozi kama Rais Hakuna kitu kigumu kuwa raisi maana wewe ndio mungu wa pili wa wananchi wako ,unaweza kufanya lolote na ukaitwa jina...
5 Reactions
1 Replies
96 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya mawingu na ukungu unaoambatana na manyunyu katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Njombe.Imesema hali hiyo imepunguza uono na...
2 Reactions
3 Replies
113 Views
TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti. Kwa sasa, hakuna taarifa zinapotokea hitilafu za huduma, huduma zinaporejea, au kunapokuwa na matengenezo...
0 Reactions
2 Replies
108 Views
TTCL ina tatizo kubwa la uongozi na maono. Inawezekanaje shirika lenye wataalamu, watu wenye elimu na rasilimali liendelee kufanya maamuzi yanayoonekana kama hayana mwelekeo wa ushindani? Tatizo...
1 Reactions
10 Replies
187 Views
Back
Top Bottom