Niambieni jambo moja alilofanya Kigwangala kwa akili nami nitawaambia jinsi Mbuzi Anavyotaga mayai

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Ndugu Hamis Kigwangala ni mmoja ya mawaziri ambao ukiwaona wakiwa katika mambo yao ndipo utaamini uchawi upo. Kuna mtu mmoja amekuwa akipinga sana humu JF kuwa hakuna uchawi.

Mimi namwambia kwa Hamis Kigwangala kuwa na nafasi aliyopo ni wazi uchawi upo.huyu jamaa hajawahi kuwa na akili au busara. Wizara aliyopewa anakaa pale kwa sababu ni mmoja ya mawaziri washirikina sana hapa Duniani.

Ila kiuwezo hana uwezo wa kuendesha hata familia yake.acha tu hiyo wizara. Ukinionesha jambo la maana alilofanya kigwangala mimi ntakuonesha Mbuzi wangu anayetaga mayai na kuyalalia baada ya siku 60 anatotoa vifaranga vya mbuzi.
 
Hakika hapa duniani lisemwalo kweli lipo hizi habari za ushirikina wa huyu mjinga nimesikia long time ago na sasa nimeamini kweli uchawi upo....
Hapo wizarani anaitwa amepachikwa jina anaitwa KAGERE
 
Ndugu Hamis Kigwangala ni mmoja ya mawaziri ambao ukiwaona wakiwa katika mambo yao ndipo utaamini uchawi upo. Kuna mtu mmoja amekuwa akipinga sana humu JF kuwa hakuna uchawi.

Mimi namwambia kwa Hamis Kigwangala kuwa na nafasi aliyopo ni wazi uchawi upo.huyu jamaa hajawahi kuwa na akili au busara. Wizara aliyopewa anakaa pale kwa sababu ni mmoja ya mawaziri washirikina sana hapa Duniani.

Ila kiuwezo hana uwezo wa kuendesha hata familia yake.acha tu hiyo wizara. Ukinionesha jambo la maana alilofanya kigwangala mimi ntakuonesha Mbuzi wangu anayetaga mayai na kuyalalia baada ya siku 60 anatotoa vifaranga vya mbuzi.
Alimtongoza mamaako na akampata.
 
Zamu yako, leta mbuzi anayetaga hapa
tapatalk_1579924960140.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi alimtoa mwanawe kafara ili mambo yake yanyooke.
Huu udaktari wake ni wa PhD au wa mitishamba?
Mwenye cv yake tafadhali
 
amefanikiwa kuweka picha yake kwenye tangazo la utalii tena kubwa kuliko kivutio cHenyew
kongole kagere wa lumumba fc
 
Back
Top Bottom