Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya...
Ni kosa la jinai kujadili kesi ambayo ipo mahakamani na kuitolea maoni na mapendekezo yako kwenye hukumu
Leo Mwaipopo anatumia media kutangazia umma kuwa Lissu afungwe au anyongwe
Majaji nao...
MAELEKEZO YA VITISHO KWA BWANA HARUSI SIKU YA HARUSI KUTOKA KWA WAKWE HASA MAMA WAKWE, SISI WATIBELI HATUTAYARUSU HATA KIDOGO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kila mtu akae kwenye mipaka yake...
TUACHE UNAFIKI KIDOGO, TUONGEE UKWELI.
Kuna kitu nimekuwa nikikiona sana kwenye maisha ya watu, na sijui kama ni mimi nimekiona au wengi tunakiona ila tunaogopa kusema.
Kwanini mtu akianza...
Kwenye list ni idadi ya kataa 10 zitakazopisha ujenzi wa ICD.
kama wewe ni miongoni wa wanaoishi kata hizo. Anza mapema kutafuta kiwanja bagamoyo, mvuti, kibaha, kongowe, chanika.
Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini
Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina...
SHAHADA HESHIMA YAKE IONEKANE KATIKA KAZI
Adeladius Makwega – MBAGALA
Nilipokuwa nasoma Chuo Kikuu katika Shahada ya Sanaa ya Habari, nilifundishwa somo lililoitwa Cultural Anthropology...
Hiki kitabu nilianza kusikia habari zake kupitia kwa Babu yangu kipenzi Mzee Moustapha Ameer, alikuwa mwandishi pia aliniambia kuna vitabu vingine si vya kusoma kwasababu hata wao kamwe hawakuwahi...
Imagine , chini ya Rais kuna Makamu wa Rais , pembeni kuna Waziri mkuu , chini ya Waziri mkuu kuna Mawaziri , chini ya Mawari kuna Manaibu Waziri , chini yao kuna Makatibu , chini ya makatibu kuna...
Nawaza tuu ,c unajua nimekunywa dawa za chenga chenga nahc usingizi
Ni wizara ipi unaona waziri wake haendani na kasi au nani yupo inje ya baraza sasa ni mda muafaka alejeshwe ...hii home work...
Miaka kadhaa majira ya Saa 11.20 alfajiri nipo Ubungo Maziwa nasubiri dereva wa ofisi anipitie ili tuwahi kikao pale Manispaa ya Morogoro (Mji kasoro Bahari).
Nikashangazwa kuona pale kituoni...
Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero...
Nipo tayari niishi karibu na makanisa ya waroma, wauteri, wasabato, n.k. lakini sio ya walokole.
Nakumbuka dalali alinipeleka siku ambayo kumetulia sana, nilipaelewa mahali hapo nikalipia kodi...
Hello wakuu natafuta mtu yoyote amba ana ujuzi wa leseni za Tanzania Gaming Board Jinsi zinavyofanya kazi, nimeshatuma propasal ya suala langu TGB nimeambiwa inaweza kuchukua wiki tatu hadi mwezi...
Makanisa ambayo at least utawakuta wanaume ni Roman Catholic, Wasabato, Moravian, n.k. Maigizo ni machache, Wachungaji wanaishi ndani ya uwezo wao, kuna urugu chacha za kugombaniana mali, n.k...
Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha.
Katika...
Alfajiri na mapema Vivian Njie mwenye umri wa miaka 89 aliwasha jiko lake la kuni katika mtaa wa Mbende, mji wa mapumziko wa Limbe uliopo Mkoa wa Kusini-Magharibi mwa Cameroon. Safari hii, sufuria...
Abdallah Msofe Abdallah alipojiunga na Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China (CHEC) miaka sita iliyopita, alianza kama mfanyakazi wa kawaida katika mradi wa ujenzi jijini Dar es Salaam.
Leo...
Shughuli mbalimbali za mwaka wa mawasiliano kati ya watu kati ya China na Afrika zinaendelea kufanyika katika sehemu mbalimbali za China na Afrika, na moja ya shughuli zilizofanyika hivi karibuni...