Wafanyabiashara katika Soko la Tandika wameandamana wakilalamikia kuondolewa katika maeneo yao ya biashara, wakieleza kuwa hatua hiyo imekuwa ikiwapa changamoto na kuathiri shughuli zao za...
Habarini zaleo wana Jf naombeni msaada nikiingia huku siku hizi natatizika kweli,kitufe cha subscribe sikioni.
nikitafuta kwa tabu baadhi ya uzi nilizokumsaawa nafwatilia nikikuta Episode 5...
Tafadhali husika na kichwa cha uzi huu.
NSSF Wamekuja na mbinu mpya zifuatazo ili kuhakikisha wanufaika hawapati hela zao:
Hawajatangaza mahali popote kwamba fao la Kujitoa limerejeshwa licha ya...
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi jumla ya Sh bilioni 2 kwa wanufaika wa shughuli za utalii na uhifadhi wa wanyamapori, hatua inayolenga kuwawezesha...
Hellow guys!!!
Wakuu hii 432hz asili yake nini....... Na ina mahusiano gani katika mambo ya kiroho.......
Na maana ya namba 9 katika ulimwengu wa kiroho, maana YESU alikufa saa 9, na adam...
Historia ya Shirika la Posta Tanzania
Huduma za Posta kama taasisi zilianzishwa nchini na Serikali ya kikoloni ya Ujerumani. Huduma ya kwanza ya barua iliyobandikwa stempu ilianzishwa hapa nchini...
Processing bottlenecks at the Tanzania Ports Authority hub have fallen from 10 days to 48 hours. This sharp speed increase applies strictly to on-site clearance, drastically cutting delays for the...
Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo James, inachukua nafasi hii kuipongeza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), chini ya uongozi wa Mkurugenzi wake, Dkt. Adam Mitangu Fimbo...
Habari zenu wakuu.
Naomba kufikisha kero yangu ya muda mrefu hapa jukwaani iwafikie watu wenye mamlaka na uongozi wa stendi ya mabasi ya mikoni, Mbezi Magufuli Terminal.
Kiwango cha tozo kuingia...
Gen. Mike Flynn Claims US Manufactured Major Viruses
Former U.S. National Security Advisor Gen. Michael Flynn has claimed that several major viruses, including HIV, monkeypox, coronavirus and...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe...
👉 Sheikh Ahmed bin Rashid Al Maktoum alikuwa mwanachama mashuhuri wa familia ya kifalme ya Al Maktoum ya Dubai.
👉 Alizaliwa Dubai mwaka 1950, akiwa mtoto wa nne na wa mwisho wa Sheikh Rashid...
TRC ituambie kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa ni karibu mwaka mmoja tangu kituo hicho kisimamishe huduma.
Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa...
Moja kwa moja..
Kuna sehemu nipo kumetokea wizi mkubwa, wizi si wa mtandaoni ila Kuna namba inatuhumiwa kwani saa chache kabla ya tukio aliwapigia wahusika wa eneo hilo kujifanya ana mazungumzo...
Habari wakuu?
Kwa sasa Dudubaya amekuwa maarufu sana mitandaoni, pamoja na controversies zake, kimsingi ni mtu anayekemea tabia za kishoga kwa watoto wa kiume. #Yu bet wochi yua bak.
Kwa kweli...
Kwa jamii yetu,sisi na community yetu mchana wa kubadilishia mwaka wetu katika sikukuu tunayoiita YOM-KIPPUR,basi kwa siku hiyo tunafunga kwa siku moja huku tukifurahia mwaka huo mpya kwa...
Kuna vijana wengi wanajifanya ni timu BIKIRA.
Ukweli ni kwamba, sahivi hakuna kijana ambaye ni timu BIKIRA.
Vipi utajiita timu BIKIRA wakati una demu kila uchochoro,ajabu unatongoza hadi wake wa...