Kutokana na Kampeni za Mazingira na kuhakikisha nchi haziendelei kuharibu Dunia yetu, Kuna kiwango fulani ambacho kimewekwa katika viwanda (hususan katika nchi zinazotoa / zalisha sana Carbon)...
Umeshaomba vitu vya kwenda nje ya nchi mara kadhaa ili haujawahi hata kuitwa kwenye interview japo unajiona kabisa vigezo vingi ulikuwa navyo? Haya acha kuamini uchawi ukaanza kutafuta waganga...
Imegundulika sasa karibia asilimia 90% ya maradhi ya mwanadamu yanatokana na afya ya akili, ingawa kiuhalisia tukiumwa tunapata changamoto katika miili yetu lakini chanzo chake ni afya ya akili...
Nitashangaa kusikia MTU analalamika kuhusu njaa wakati mchele umeshuka Sana bei.
Nunua chakula cha kutosha uweke ndani itasaidia kuishi vizuri wewe na familia yako.
Tuwe Kama wazungu sio kila...
Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket.
Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la uanzishaji wa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini jambo ambalo ni zuri sana.
Ila kutokana na jinsi vyombo hivi vingi vya habari haswa redio na TV zinavyofanya...
Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu...
Sina mtoto, nilikuwa nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikuwa sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana.
Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la uanzishaji wa vyombo mbali mbali vya habari hapa nchini jambo ambalo ni zuri sana.
Ila kutokana na jinsi vyombo hivi vingi vya habari haswa redio na TV...
Sitaki salamu na mtu!
Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa.
Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh...
Wadau habarini za majukumu? Jana nilikata tiketi ya bus toka mkoani kuja Dar es Salaam kitu nilichokutana nacho ni tozo ya 0.5% ya LATRA hii ikoje? Imetamkwa lini? Je si kutuongezea mzigo kwenye nauli
Wakuu smartphone sio afya kabsa kwa wanafunzi wengi wa chuo kama uwezi kujicontrol katka matumizi yake utaishia kufeli mwanzo mwsho.
Tuje kwenye stori, nikiwa mwaka wa pili nikasema nami nunue...
Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking...
Dar es Salaam, Oktoba 7, 2024 – Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024, Benki ya CRDB imezindua rasmi mfumo mpya wa kidijitali wa huduma kwa wateja unaotumia teknolojia ya akili mnemba...
Habari,
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri pamoja na harakati za ujenzi wa taifa letu la Tanzania.
Nia ya uzi huu ni kukumbusha na kuamsha makampuni ya simu yanayotoa huduma za kifedha hasa...
Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi.
Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Njombe limefanikiwa kuingiza umeme na kuuwasha bure katika nyumba ya Bibi Esteli Nyalusi mwenye umri wa miaka 62 ambaye ni mkazi wa kata ya Maguvani...
Nmekuwa nikilalamika sana kuhusiana na wizi tunaofanyiwa na makampuni ya Simu. Leo tena nmeunganishwa kwenye huduma ambayo sijawah iomba na sijui hata inaombwaje.
Si hivyo tu ni kuwa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.