Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati
1. Programu Endeshi Android:
Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App &...
Watangazaji wa TBC wanaotangaza Live watangazaji wenu wanapotosha wanaita Landrover Parade badala ya Landrover Festival jina rasmi watoeni au wakanyeni
Huwezi kwenda kutangaza event ya mtu ana...
Habari za Jumapili ndugu zangu,
Leo nimehudhuria ibada Kanisa Katoliki nikaona baadhi ya waumini wakiwa bize kufuatilia masomo ya Bibilia kwenye simu zao (Bible App) tofauti na tulivyozoea...
Jumamosi iliyopita nilihudhuria ibada ya ndugu zangu wasabato wa mwaliko wa bibie mmoja. Nimezoea nyumba nyingi za ibada kukutana na neno ZIMA SIMU, ila nikashangaa humo kanisani wakati wa ibada...
I’m not sure about the veracity of the contents of this YouTube video, but watching it, I get some AI vibes.
Hebu iangalieni na nyie. Sikilizeni jina la Chenge [Andrew] linavyotamkwa.
Huyo...
Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa...
Mhadhara - 44:
Mnamo Oktoba 1, 2024 niliwaletea MAMBO 13 YA BUSARA. Leo nawaongezea mambo mengine kumi na nne (14) ya busara ambayo yataongeza au yatalinda heshima, thamani na utu wako. Ikumbukwe...
Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, Pwani, amefariki dunia baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Tukio hilo lilitokea alfajiri ya Jumanne...
Habariii za humu wana Jamii, Mara nyingi nimekutana na uzi nyingi sana mfano Kama uzi wa Analyse INSIDER MAN humu na watu kadhaa wakisema kwamba eti ukiwa katika harakati za kutafuta maisha na...
Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.
Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga...
Kwa mujibu wa barua inayotajwa kutoka katika Ofisi ya Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Kinondoni imeeleza kuwa tamasha hilo lihamishiwe viwanja vya Tanganyika Peakers - Kawe
> Sababu za kusitishwa...
NI NATURE MWANAUME ANAPENDA NA ANAFURAHI KUFANANA NA MTOTO WAKE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hili Wala siô Siri ingawaje wàpo wachache watapinga lakini ukweli utabaki ukweli Siku zote...
Habari zenu wakuu, najua huku Kuna watu Wana uelewa zaidi katika hili.
Nimeshangazwa na Polisi mwenye cheo kama DCP uwa RPC, hali ya Kuwa kuna polisi ni ACP au SACP ni RPCs tena wengine ni ZPC...
1. Allah aniondoshe katika dunia hii hali ya kuwa umeniridhia
2. Allah aniondishe katika dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja
3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi...
Wakuu,
Kuna hili suala la meditation kuhusishwa na mambo ya kuamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana, nimejikuta nikivutiwa na suala hili.
Je, ni kweli inaamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana?
Pia...
Habari wakuu
Dar ni moja kati ya mji mkubwa sana Tanzania umeojaa watu wengi sana na shughuli zao za kibiashara, ni mji ambao gharama za kuishi ni kubwa mno, kodi, maji, umeme, usafiri n.k
Hapa...
Ndugu zangu,
Wanajamvi, umofia kwenu,
Ndugu zangu me ndugu yenu nimezingirwa nipo katikati ya maisha na mbinguni.
Naomba nijieleze kidogo.
Ndugu zangu me member hapa tangu mwaka 2013, ni zaidi...
Aliyejitambulisha kuwa ni Mchungaji wa Kanisa la Uamsho na Matengenezo ya Kiroho Ulimwenguni, Mwalimu Augustine Tengwa akiambata na wenzake wamevishauri vyombo vya ulinzi na usalama kusimama vema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.