Huku Tabora kilo moja ya mchele imefika 800 (mia nane)

Huku Tabora kilo moja ya mchele imefika 800 (mia nane)

Empty container for sale

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
2,617
Reaction score
2,123
Nitashangaa kusikia MTU analalamika kuhusu njaa wakati mchele umeshuka Sana bei.

Nunua chakula cha kutosha uweke ndani itasaidia kuishi vizuri wewe na familia yako.

Tuwe Kama wazungu sio kila siku MTU unawaza chakula na kodi tujitahidi kuishi kwa mipango na mikakati ya Muda mrefu.
 
Back
Top Bottom