GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Nmekuwa nikilalamika sana kuhusiana na wizi tunaofanyiwa na makampuni ya Simu. Leo tena nmeunganishwa kwenye huduma ambayo sijawah iomba na sijui hata inaombwaje.
Si hivyo tu ni kuwa hata ingekuwa ni bure nisingejiunga. Hii text hapa.
Huu ni wizi kwa sababu kwanza mimi sijaomba kuungwa huduma hiyo.
Pili tayari wamesha conclude kuwa watanitaka tsh100 daily ambayo kwa mwezi ni tsh 3000 je wakifanya hivi kwa watu 100,000 watakuwa na tsh ngap kwa mwezi?
Hawa airtel ni wezi kama wezi wengine wanaopatikana sehemu tofauti tofauti. Nmewapigia simu na nikawaomba wanioneshe muda gan nmejiunga wameishia tu kusema watashughulikia malalamiko yangu. Ila jambo hili si mara ya kwanza wao kunifanyia, tigo na voda pia walishawahi nifanyia uhuni kama huu kwa huduma zao nyingine