Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maandamo yaliyofanyika tarehe 29 October 2025 yalifanikiwa kufanyika kwa sababu maandamano yalikuwa yameunganishwa na tukio kubwa la kitaifa ambalo ni uchaguzi. Kwa kuwa 29 Oktoba ndiyo ilikuwa...
1 Reactions
16 Replies
295 Views
Au ndio majungu na fitana tuzichukulie kama changamoto
0 Reactions
7 Replies
128 Views
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa...
0 Reactions
1 Replies
143 Views
KERO YA VYOO UWANJA WA NDEGE MWANZA - WENYE MAMLAKA FANYENI KAZI Leo nimepata fursa ya kushuhudia hali ambayo, kwa maoni yangu, inahitaji hatua za haraka katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Eneo...
2 Reactions
3 Replies
103 Views
Wekezeni kwa wachezaji,mafunzo,viwanja tupate timu nzuri zitakazopata matokeo mazuri watu wafurahie ushindi na sio mambo ya JEZI (DUNIA NZIMA SWALA LA JEZI ni la wazabuni na wabunifu wao)
2 Reactions
5 Replies
48 Views
Katika kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kufanya usafi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo kuondoa msongamano...
1 Reactions
4 Replies
122 Views
My Take Nilikuwa sijui kama Ugoni na fumanizi unaweza peleka kesi mahakamani na kudai fidia. =============== Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya fidia ya Sh milioni 10 kwa Mkurugenzi wa...
12 Reactions
42 Replies
993 Views
Inafika wakati salfa inakuja chache watu hulatimika kulala kwenye maghala kugaiwa salfa wakifika maafisa ugani asubuhi wanawapa watu wachache kisa wanasema mtandao unasumbua basi maghala hufungwa...
4 Reactions
2 Replies
78 Views
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado anaendelea na ziara ya kijiji kwa kijiji katika jimbo lake, akiwasikiliza wananchi na kupokea malalamiko yao mbalimbali. Tarehe 24 Steptemba...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Matukio mengi ya kutisha na kushangaza mkoani Arusha yanatafsiriwa na jamii kwa mitazamo miwili tofauti imani za kiroho/giza (kama vile ushirikina na laana) na sababu halisi za kijamii na...
16 Reactions
82 Replies
2K Views
Wananchi wa Kijiji cha Machemba, Wilaya ya Tunduru wameiomba Serikali kuwapatia vyanzo salama vya maji baada ya kueleza kuwa wanategemea kisima ambacho, kwa mujibu wao, hakikidhi viwango vya...
0 Reactions
1 Replies
106 Views
Septemba 22, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?” Katika maelezo yake Mdau aliendelea kueleza kuwa “TRC...
0 Reactions
1 Replies
136 Views
  • Redirect
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Igeleke iliyopo katika Manispaa ya Iringa wanakabiliwa na mazingira magumu ya kujifunzia kutokana na uhaba mkubwa wa madawati unaowalazimisha baadhi yao kukaa chini...
0 Reactions
– Replies
– Views
Zaid alikuwa na mke anaitwa zainab. Alikuwa mrembo kupindukia. Siku moja muhmd akaenda kumtembelea zaid, akamkuta zainab akiw katika mavazi ya kuvutia, akashindwa kujizuia na kumchukua zainab...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Wananchi mkoani Mwanza waendelea kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi, ikiwemo elimu, ushauri na utatuzi wa changamoto zinazohusu masuala ya ardhi. Kliniki hiyo...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Wananchi wametakiwa kuheshimu mipaka ya ardhi iliyopimwa na kutambuliwa kitaalamu, ambayo ni hatua muhimu katika kuzuia na kumaliza migogoro ya mipaka kati ya vijiji na maeneo mengine nchini...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Habari za ijumaa! Leo sina mambo mengi. Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu...
19 Reactions
57 Replies
568 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…