Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uchunguzi wa kijasusi uliofanywa na BBC umegundua yafuatayo. 1) Mteja mtarajiwa hutumiwa meseji akiambiwa kwamba amechaguliwa kupata mkopo wa kiasi flani, hivyo afuate link ya ‘playstore’ ili...
16 Reactions
95 Replies
9K Views
Ni takribani miezi miwili sasa tangu serikali ipige marufuku matumizi ya vifaa vya plastiki (vidumu vya lita tano au madumu ya lita 20) kuchukulia mafuta kutoka vituo vya mafuta. Leo katika pita...
4 Reactions
88 Replies
4K Views
𝗔𝗠𝗘𝗛𝗜𝗙𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗣𝗘𝗦𝗔 𝗠𝗜𝗔𝗞𝗔 𝟯𝟬 𝗜𝗟𝗜 𝗞𝗨𝗭𝗔𝗠𝗔 𝗕𝗔𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 Wanasema kila mwanadamu ana ndoto sijui ndoto yako ni ipi lakini kwa huyu mdada imetimia 👇 Mwanamke mmoja wa kimarekani anaitwa Renata Rojas aliweza...
2 Reactions
1 Replies
396 Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amekifungia chuo cha Kewovac kinachojihusisha na utoaji wa elimu ya uuguzi na ukunga kilichopo Mbagala Charambe kwa kutokidhi vigezo vya utoaji wa elimu...
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Mimi ni Mkulima kutoka Mbinga mkoani Ruvuma, nimekuja mbele yenu nikiwa na changamoto ambayo kwa imani yangu najua kupitia nyie naweza kupata msaada ambao kimsingi sio tu utanisaidia pekee yangu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar. Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu. Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume? Je wajua engn...
1 Reactions
4 Replies
448 Views
Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya...
6 Reactions
10 Replies
637 Views
Jiwe gani hili wakuu, nilikua natafuna karanga toka kanda yakati nikalikuta humo. Nisije nikatupa neema Mungu amenitumia kimyakimya. Ni rangi ya brown light ugoro kabisa,limechongeka pembetatu...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Katika nyakati tofauti Apostle Mtalemwa alitoa unabii juu ya maafa yanayoweza kutoka Kariakoo na ilikuwa 21/ 1/ 2024 na alisema hivi kutakuwa na dibeti wakandarasi wafanye hivi wafanye vile is...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Tunatoka mwaka 2023, tunaingia mwaka 2024. Huu ni mwaka ambao hao watawala wa dunia hii wanakwenda kufanya mambo makubwa sana, wanasema haijawahi kutokea. Kutakuwa na matukio makubwa ya vifo, hasa...
16 Reactions
69 Replies
30K Views
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa, katika ajali ya gari lililokuwa safarini kutoka Jijini Dar es Salaam kwenda Mji wa Tunduma mkoani Songwe kwa ajili ya mazishi ya Neema...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeshanganzwa na makato mapya toka bodi ya mikopo kwa mshahara uliopita na Kwa watu wengi tu wamekatwa ambao walishalipa tayari sijui tukapewa na certificate of nini ?. Nolipojaribu kuwasiliana...
0 Reactions
2 Replies
661 Views
Wakubwa baadhi wenye vyeo Walevi wa Madaraka Wabinafsi wanapanga safu. Wanatutemea mate kwa kusigina ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu za Chama. Wanaweka viongozi walio kinyume na...
0 Reactions
1 Replies
366 Views
Unaweza kucheza na vyote lakini sio msiba.. Misiba Afrika ni kama mila na desturi.. Ni utamaduni wenye nguvu bado Kuna muunganiko wa ajabu na wenye nguvu sana kwenye mila na desturi za Kiafrika...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
28 Reactions
530 Replies
26K Views
Kwema Wakuu? Niko mahali hapa nasikia taarifa zisizo njema kuhusu huyu Mzee, zina ukweli wowote? ===== Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi Mwanza...
18 Reactions
161 Replies
11K Views
Usiweke kipaumbele kwa Maisha ya watu wengine Jinsi unavyo Mjali Binadamu ndivyo Atakavyo kudharau na kukupuuza siku zote za Maisha yake. Njia nzuri ya Kuishi na wanadamu ni Kuishi nao kwa...
6 Reactions
5 Replies
427 Views
Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao. Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi. Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza. Vyote viwili...
2 Reactions
12 Replies
918 Views
Back
Top Bottom