Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,071
Usiweke kipaumbele kwa Maisha ya watu wengine Jinsi unavyo Mjali Binadamu ndivyo Atakavyo kudharau na kukupuuza siku zote za Maisha yake.
Njia nzuri ya Kuishi na wanadamu ni Kuishi nao kwa tofauti, usionyeshe kujari, na Wala usimjali mwanadamu wachukulie kawaida tu.
Njia nzuri ya Kuishi na wanadamu ni Kuishi nao kwa tofauti, usionyeshe kujari, na Wala usimjali mwanadamu wachukulie kawaida tu.