Amehifadhi pesa miaka 30 ili kuzama baharini

Amehifadhi pesa miaka 30 ili kuzama baharini

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
π—”π— π—˜π—›π—œπ—™π—”π——π—›π—œ π—£π—˜π—¦π—” π— π—œπ—”π—žπ—” 𝟯𝟬 π—œπ—Ÿπ—œ π—žπ—¨π—­π—”π— π—” 𝗕𝗔𝗛𝗔π—₯π—œπ—‘π—œ

Wanasema kila mwanadamu ana ndoto sijui ndoto yako ni ipi lakini kwa huyu mdada imetimia πŸ‘‡

Mwanamke mmoja wa kimarekani anaitwa Renata Rojas aliweza kuhifadhi pesa zake zaidi miaka 30 ILI kuweza kutimiza ndoto ya kuona mabaki ya Meli ya Titanic ndani ya 12,500 futi kwenye bahari ya Atlantic.

Meli hii ilizama miaka 110 iliyopita kusini mwa bahari ya Atlantic toka mwaka 1912 ambapo, Renata alisema alikua anatamani kuweza kuiona mabaki ya Meli ya Titanic ndipo akaamua kuhifadhi pesa zake na kufikisha kiwango cha dollar $250,000 hii ni zaidi ya safari.

Vipi wewe ungependa kufanya kama alivyo fanya Renata Rojas?

2_20241122_120718_0001.png
 

Attachments

  • 1_20241122_120718_0000.png
    1_20241122_120718_0000.png
    1.1 MB · Views: 34
Back
Top Bottom