Habari za weekend wakuu,
Kwanza niseme wazi Taifa lisilojari wazee basi Taifa hilo limelaaniwa na haliwezi kubalikiwa.
Wengi kama mnavyofahamu wazee wa iliyokuwa jumuiya ya Africa Mashariki kwa...
Leo tarehe 22.11.2024 Chuo cha Kodi (ITA) kimefanya mahafali ya 17 ya chuo hicho. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya ambaye...
Shalom,
Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu.
Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua...
Mpumbavu ndio atakae kuwa controlled na applications za simu.
Mpumbavu ndie atakae weka maisha yake rehani kwa ajili ya umaarufu na kushobokewa kwenye mitandao.
Mitandao imelalamikiwa sana...
Hakika umeshawahi kuwaona walimbwende hawa wakiwa wamependeza, watanashati, warembo na kutembea mwendo wa madaha ndani ya ndege ama treni. Achana na hawa wa mabasi wapakua mzigo na walegeza sauti...
Wadau habarini,
Mimi ni mwalimu katika moja ya vituo binafsi vya mitihani kwa private candidates (Mufindi DC). Tuna wanafunzi wa kike waliokuja kwa programu maalumu ya serikali (SEQUIP) ambao...
Walimu na wafanyakazi Shule ya Sekondari ya Meta, iliyopo mkoani Mbeya, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, wamegoma kuendelea kufundisha na kuwasimamia mitihani...
Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane
Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama...
Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia...
Mnunuzi nyumba za Said Lugumi za mbweni JKT zimeuzwa kwa Dk. Luis Shika, moja amenunua kwa sh900 milioni na nyingine kwa shilingi bilioni 1.
************UPDATE*************
Taarifa kutoka YONO...
Katika hali isiyokua ya kawaida mwananchi wa sengerema amejikuta mikononi mwa polisi kwa kitendo chake cha kuidai serikali huduma ya maji,hii imetokea baada ya kuwataja viongozi wa serikali hasa...
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za kutangaza vivutio vya utalii nchini...
Makamu wa Rais wa Kampuni ya AngloGold Ashanti anayeshughulikia Mahusiano na Maendeleo Endelevu Afrika, Simon Shayo amesema kwamba kampuni hiyo ipo katika mazungumzo na Serikali kupitia Benki Kuu...
RC Mtanda piga kazi usiyumbishwe na maneno ya wakosaji sisi ambao tunakufahamu tunajua wewe sio mtu wa maneno ni mtu wa vitendo kwanza haupendi uonevu wewe unajali kuwaletea maendeleo wananchi tu...
Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa...
VICHWA VYA HABARI VYA KESHO>>>>
Hali ni tete zanzibar,mchungaji mwingine apigwa risasi na kufariki.
Chuki za kidini zaondoa uhai wa mchungaji.
Uamsho wafanya mambo,wahusishwa na kifo cha...
Hivi kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio??!!
Kati ya MTU mwenye Pesa nyingi sana au MTU mwenye Elimu ya juu sana??!!
Je,ulishawai kukutana au kufundixhwa na walimu matajili wangapi??!!
Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.