Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana-JF imebidi niandike huu uzi maana nimepata mashaka na usalama wa taarifa zangu kwenye hii huduma ya AzamPesa. Leo asubuhi nilijiunga na huduma ya AzamPesa kwa lengo la kuanza kutumia...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3. Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa. Kwa...
6 Reactions
32 Replies
8K Views
Mwezi uliopita nilienda Airtel shop kununua router kwa ajili ya internet. Nilipewa options mbili nipewe router bure na niwe nalipia kifurushi 110,000 kila mwezi au ninunue router 200,000 alafu...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Ukiondoa maisha ya unga mwana niliyonayo kitu kingine kinachonipa msongo wa mawazo ni kutokuishi Dar es salaam. Nilikuwa nikisikia na kushuhudia watu wameacha kazi kisa tu wamepangiwa vituo vya...
99 Reactions
422 Replies
37K Views
Mimi nafanya kazi Butiama katika Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere, wakati wa kuajiriwa, Watumishi wengi tulinunua maeneo karibu na eneo ambalo Serikali ilitazamia kujenga chuo. Bahati nzuri...
1 Reactions
10 Replies
977 Views
Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
1.Hiv kumbe nchi ya marekani walikuwa na pesa za sarafu..na je bado wanatumia pesa za sarafu (coin) mpaka miaka ya leo? Na kama zipo ni kuanzia bei ipi? Kuna sarafu nimeishika leo ni quarter...
0 Reactions
7 Replies
849 Views
SOURCE: The Chanzo 1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6 2.🍻Bia- Bilioni 609 3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320 4.📲Simu- Bilioni 320 5.🚬Sigara- Bilioni 275 6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188 7.🧋Sukari- Bilioni...
16 Reactions
144 Replies
5K Views
Like seriously mimi bora nipambane uso kwa uso na Simba au Chui lakini sio Nyoka, kwanza nikimuona tu mwili wote nahisi umepigwa ganzi. Haya mdau na wewe mbabe wako yupi?
6 Reactions
144 Replies
18K Views
Mwisho wa mwaka huu kila mtu anapambana kutimiza majukumu aliyoyapanga mwanzoni mwa mwaka. Nimekutana na "special hire" zikiwa na maiti toka wiki iliyopita huko njiani, kama zote, pamoja na zile...
2 Reactions
4 Replies
507 Views
Mwanaharakati Renatus Mkinga afariki, alikuwa mjumbe wa bodi ya Tasac iliyovunjwa na mama Samia mwezi uliopita. Source: TPA ========= Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA Bw Renatus Mkinga...
11 Reactions
138 Replies
22K Views
Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri...
0 Reactions
6 Replies
569 Views
Habari Zenu, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na ni mtumiaji wa barabara ya Bagamoyo Road. Kila siku napita kwenye barabara hii kwenda katika majukumu yangu ya kila siku, lakini aisee, mataa ya...
0 Reactions
2 Replies
560 Views
Hapa nazungumzia nyanja za mafanikio kwa sisi wasakatonge, nimezaliwa Moshi-kilimanjaro nimezunguka pande Nyingi za Tanzania Lakini dar-es salaam ndio Kila kitu kwa mtu ambae ana chachu ya...
16 Reactions
68 Replies
8K Views
WKuu Nina kijana yuko form 3 anaingia form four. Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani. Je utaratibu wa kisheria ukoje
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Katika harakati binafsi za kuunga mkono na kupongeza, juzi nilipata changamoto. Mtoto wangu wa kiume aliniletea wajukuu zangu mapacha wa kike na kiume. Kwa heshima na kumhusudu doktari Samia...
3 Reactions
6 Replies
520 Views
Habari wakuu, Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Leo nimekuja na swali langu kwa wana JF wale wa Earth is around, ninataka mnipe jibu la swali langu JE, DUNIA NI DUARA? Kama dunia duara kitendo hiki kinaitwaje au kinaeababishwa na nini? Je...
3 Reactions
81 Replies
3K Views
Wakuu hapa unapoona ni jiji Mwanza! Yaan Mwanza jiji mtu anaishi na mang’ombe nyumbani. Mtaani yaan ukipta hapo furu kunuka.
2 Reactions
23 Replies
1K Views
𝗡𝗗𝗜𝗭𝗜 𝗜𝗟𝗜𝗬𝗢𝗨𝗭𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗚𝗛𝗔𝗥𝗔𝗠𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 Nadhani sote tunaijua ndizi au tunaweza sema banana kwa kiingereza kitaani kwako na kwangu uwa ndizi Moja inaweza kuuzwa kuanzia Shilingi 100, 200 au 300 sawa...
2 Reactions
9 Replies
582 Views
Back
Top Bottom