Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,040
10,460
Ukiondoa maisha ya unga mwana niliyonayo kitu kingine kinachonipa msongo wa mawazo ni kutokuishi Dar es salaam. Nilikuwa nikisikia na kushuhudia watu wameacha kazi kisa tu wamepangiwa vituo vya kazi vya mikoani nilikuwa nawaona kama ni mental case kumbe mimi ndiye nilikuwa sijui what it means to live in city of Dar es salaam. Now I Know licha ya udogo wa geographical area ya Dar es salaam still ndio Mkoa wenye population kubwa compared to other places in Tanzania.

Once my father told me alikuwa akiishi Ubungo Maziwa miaka 1980, ni miongoni mwa stori zinazoniumiza sana mimi na kunifanya nijiulize maswali mengi na kuhitimisha kuwa at some point kila mtu kwenye maisha yake anafanya mistake kama sio mistakes. It's doesn't make any sense miaka ya 80 unahama Dar es salaam unaenda kuishi Namtumbo ambako mpaka leo kuna mapori je miaka ya 80 it's means jirani zetu walikuwa wanyama pori, baba nakupenda sana ila kwa hili you deserve to be blamed.

Hii ni list ya vitu vilivyonifanya nigome kutoka Dar es salaam.

1. Dar es salaam ndio sehemu pekee inayokupa easy access ya kuchase dreams zako jaribu kufanya utafiti mdogo watu wengi waliofanikiwa kwenye nyanja tofauti nchini Tanzania makazi yao ni wapi(tofautisha kati ya asili na makazi).

2. Ile interaction ya kukutana na watu wa aina tofauti inakufanya uchangamke na uwe extra care maanake unajua ukizubaa umepigwa.

3. Naomba hapa nikazie kama wewe ni Mwanaume mtafutaji basi sehemu sahihi ya kuwepo ni Dar es salaam. Why kusuuza rungu ni moja kati ya basic need ya Mwanaume yoyote bila kujali financial status yake(tajiri & masikini) sasa jijini Kila kata Kuna danguro, bajeti ya kuosha rungu inakuwa chini compared to other places In Tanzania.

4. Zamani nilikuwa naamini jijini chakula ni bei ghali kumbe zilikuwa ni propaganda za watu wa binafsi wasio penda watu wa mikoani tuje Dar. Ni wapi Tanzania hii unapata Ugali na mboga drafts kwa shilling za kitanzania 1000 tu believe me hakuna hata kule panapotoka mazao yenyewe. Wigo mpana wa kuchagua ule nini. kuna mikoa kama sio mlaji wa ugali au wali basi jiandae kulala njaa.

5. Kupendeza ni jambo jepesi kuliko kutopendeza Kila sehemu zinauzwa nguo tena latest kwa cheap price. Mimi katika maisha yangu sikuwahi kuwa na nguo begi mbili lakini Dar es salaam mtu ambaye ni Jobless ana mabegi 5 ya nguo.

Mwisho Asante sana shemeji kunifukuza kwako ila just believe me next year nitakuwa huko kuanza maisha yangu Mimi kama BabaMorgan. Tena usije ukashangaa nimepata apartment Posta afu wewe utabaki huko huko kwenye Panyaroad.
 
Kuna muuni nilikua tumepanga jirani. Huyu mwamba ndo alinishangaza maisha yake nikasema dar kila kitu upside down.

Jamani DSM kuna mambo mengi sana ukiwa ujachangamana unaweza maliza siku ukiwa unashangaa tu.
 
Geneva my foot...yani DSM ukisuka mipango yako vizuri milioni 50 hizi hapa unazichungulia issue ni kukutana na watu sahihi kwenye harakati zako...unajua watu wa DSM wanaweza kukupa hata ramani za kutoka ila huko mikoani watu wanakunja sana...😂😂😂
😊😊 Kwa Tanzania DSM ni hub, mikoa mingine bado sana kwa DSM. DSM kama una connection na good character unafika mbali mitandao ya pesa ni mingi sana, ni ku tune frequency zako
 
Back
Top Bottom