Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Fahamu mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya unapotembelea Dubai 1. Ingawa Dubai ni kitovu cha mitindo, hauruhusiwi kuvaa Nguo fupi, zinazobana sana, au zenye kufichua Mwili kwa kiasi kikubwa katika...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo...
19 Reactions
183 Replies
7K Views
Hamsini ya noti Wakongwe hii ilitumika mwaka gani? Na vitu gani ulikuwa unaweza kununua?
2 Reactions
4 Replies
462 Views
Sina shaka na ufahamu wa umasikini alionao Rais juu ya uchumi CV yake inaonesha amesoma Economic Development. Naamini alikuwa anawachezea shere wahariri kwa kuwachanganya kidogo, bahati mbaya...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Habari zenu JF Mimi nilikuwa Nina ushauri ..kutokana na Hali ya uchumi nchini kwanini Hela zisitengenezwe nyingi afu watu wapewe Kila mtu akawa na hela nyingi zingine tukalipa madeni ya nchi...
4 Reactions
9 Replies
573 Views
Wazungu pamoja na kwamba tunaona ni wastarabu na ndio walituletea ustarabu lakini upande mwingine wa shilling mambo mengine wafanya kama hamnazo na jaribu kuainisha na wewe uandike zako. Mfano...
9 Reactions
58 Replies
2K Views
Wahenga walitufunza kwamba Heri kukinga kuliko kutibu na wakasisitiza Usipoziba Ufa Utajenga Ukuta Hakunaga Kipindi Vijana wamekuwa wakitukana viongozi kama awamu ile ya 4 na5 Nasi wengine...
14 Reactions
51 Replies
1K Views
Bilion moja kwa matajiri sio kitu kikubwa Ila kuitafuta Bilion kwa watu wenye maisha ya kawaida kupata bilion moja sio rahisi hata kidogo. Kama unabiashara au unalipwa mshahara na kufanikiwa...
42 Reactions
169 Replies
7K Views
UHURU UNAOPIGANIWA NA WACHACHE HUWANUFAISHA WACHACHE. UHURU UNAOPIGANIWA NA WENGI HUWANUFAISHA WENGI. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Viongozi wanakula Sana. Viongozi wanajipendelea Sana...
3 Reactions
0 Replies
400 Views
Kuna utani wa kitaifa kuwa huwezi kumtenganisha Mnyakyusa na tunda la parachichi. Huu ni utani usioumiza unaokaribiana na ukweli kwa sababu parachichi ni tunda pendwa kwa watu wa jamii ya...
2 Reactions
8 Replies
939 Views
Hata tatizo la low sperms count pata hii mixture special juice! Let mrejesho hapo! Kunywa kila jioni kabla ya kulala, achaneni na matapeli.
4 Reactions
6 Replies
393 Views
Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita. Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo...
33 Reactions
264 Replies
14K Views
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
44 Reactions
280 Replies
14K Views
Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
15 Reactions
170 Replies
6K Views
Ile video iliyokuwepo hapa two hours ago ya yule yaya anamtesa toddler nimeipeleka Polisi. Polisi wameonyesha interest lakini wanasema Afande amekwenda weekend,nirudi Jumatatu.
2 Reactions
18 Replies
984 Views
Samia yuko Morogoro, time to trigger Hawa wa mitaa waungane hapo Dodoma?
0 Reactions
1 Replies
446 Views
Yaani kuna saa uki observe namna maisha yanavyokwenda, whether unaishi Africa au wherever. Kama umebahatika kuwa na familia yenye mke na watoto, kuna saa huwa unajiuliza ya kwamba, kama nitakuwa...
2 Reactions
9 Replies
710 Views
Baadhi ya wanawake ni vichwa mwenge, Huna biashara yoyote halafu unacheza KIBATI sasa utapata wapi pesa ya marejesho kama sikufungua milango ya ufisadi?
1 Reactions
17 Replies
784 Views
Sijui uoga wa nini ilihali mnaishi maisha mabovu, hivi mnashindwa kukiwasha ani, hata ccm watume mapolisi laki moja hawatawaweza nyinyi mpo wengi mnashinda Sasa mnaishi maisha ya kutupwa...
9 Reactions
42 Replies
1K Views
Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari, Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk. Tunaomba Star Link...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom