Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke. Hapo Sasa ndo ataanza kushituka. Ukweli ni kwamba...
1 Reactions
4 Replies
517 Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WASANII 200 SONGEA WAPATIWA MAFUNZO UZALISHAJI WA FILAMU BORA Bodi ya Filamu na Michezo ya kuigiza Tanzania (TFB) imeendesha mafunzo kwa wasanii 200 wa tasnia ya filamu wa manispaa hiyo ili...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Usiku wa kuamkia leo Novemba 24, 2024 nilifika kwenye Kituo cha Afya ambacho ni Zahanati ipo Kitunda (Dar es Salaam), palepale Kitunda Mwisho ambapo Dadalada zinageuka. Nilipofika hapo wameandika...
3 Reactions
8 Replies
718 Views
Wengi wetu leo hii ukimwambia unataka Mungu akupe nini atakwambia pesa/utajiri. Hata ibada nyingi kwenye haya makanisa binafsi ya mitume na manabii maombi makubwa ni Pesa! Mali! Utajiri. Mfalme...
2 Reactions
2 Replies
781 Views
Raisi Samia katoa kibali cha ajira 400 Kwa walimu wa biashara ambao watatumia mtaala mpya katika kufundisha masomo ya biashara lengo kubwa ni kutatua tatizo la ajira je 1.wahitimu wa hayo masomo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TPA kuwapunguzia tozo/gharama ya uhifadhi mizigo waathirika janga la ghorofa Kariakoo Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) itawapunguzia gharama za uhifadhi...
1 Reactions
0 Replies
372 Views
Mfanyabiashara Saidi Lugumi ( @lugumisaidi ) hapo jana November 23 ameendeleza utamaduni wake wa kusaidia Watu wenye mahitaji kwa kujumuika na Watoto yatima wa Vituo vitano nyumbani kwake Masaki...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa Nchini Nigeria, Sio kwenye Private Jet yake anayoimiliki wala sio kwenye Business Class ya Commercial Airline bali maiti yake imerudishwa kama Cargo...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus. Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa...
1 Reactions
0 Replies
375 Views
Brother/Sister Acha kuchezea sadaka za watu :Ni sadaka ya Muda :Ni sadaka ya Nguvu :Ni sadaka ya Fedha :Ni sadaka ya Damu :Ni sadaka ya Akili na Hisia :Usichokifahamu ni kwamba kila mwanamke ni...
3 Reactions
2 Replies
376 Views
Ninayeandika hapa si mhanga wa ajira baada ya kumaliza chuo kikuu , maana hamchelewi kusema stress za unemployment zinanichanganya. Nina elimu ya university mwenye shahada ya Usimamizi wa...
0 Reactions
2 Replies
545 Views
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), George Ķatabazi amesema sekta binafsi bado ni changamoto kwenye kutoa elimu kwa Wafanyakazi wao na jamii...
0 Reactions
0 Replies
415 Views
IBADA YA KWELI KWA MUAFRIKA NI TAMBIKO TU. Tambiko ni ibada yenye asili ya Afrika.Katika tambiko muombaji hufikisha haja yake kwa mungu kupitia sadaka za kuchinja,kuteketeza mali na mengineyo...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
Niende moja Kwa moja, Kwa pongezi zangu Kwa baadhi ya viongozi wa dini Kwa KUSIMAMIA HAKI hasa kipindi hiki Cha uchaguzi, Mungu awabariki Ila kuna baadhi ya viongozi wa dini wenyewe wanasubiri...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Kuna muda huwa nawaangalia wazee na watu ambao umri umekwenda huwa najiuliza huwa wanatuonaje vijana , siku hizi starehe nyingi na wao nadhani baadhi wanazipenda nyingine zinawashangaza . Simu...
5 Reactions
11 Replies
607 Views
Kwa uzoefu wangu wa kuishi na watu mbalimbali nimegundua hivyo. Je, kuna ukweli wowote?
2 Reactions
17 Replies
523 Views
Wahubiri wa imani ya kikristo mna matangazo yenu ya mikutano na ahadi ya kuwaita wagonjwa waje kupata uponyaji wa kimiujiza. Hakuna hata rekodi moja mlimponya mtu aliyekatwa mguu au mkono! Huyo...
17 Reactions
109 Replies
3K Views
Islamophobia ni nini? Na nini haswa lengo lake? Kiufupi, Islamophobia ni hofu dhidi ya mafundisho ya kiislamu. But, kabla hatujaendelea kuna kitu cha maana sana cha kujiuliza, kwann watu wawe...
9 Reactions
17 Replies
999 Views
Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme 👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi? 👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki Mifano...
10 Reactions
68 Replies
3K Views
Back
Top Bottom