Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu. Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini, Kwa mujibu wa sensa...
16 Reactions
60 Replies
2K Views
Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa ===================================== Depression - hali hii humpata mtu yeyote...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu habari,pasi na shaka wengi wetu tumewahi kuhudhuria kwa mganga/waganga wa kienyeji kwa shida mbalimbali za miili yetu na maisha kwa ujumla.Nishee nanyi visa/madhira niliyowahi kuvisikia toka...
7 Reactions
48 Replies
9K Views
Habari za asubuhi wapendwa Leo ni siku ya Jumamosi ingawa sijachelewa na pengine una kadi za harusi kadhaa zingatia haya Ukumbuke kadi za harusi kwenda harusini Ukienda harusini hakikisha...
19 Reactions
87 Replies
4K Views
Niende madani, hivi mna habari kuwa Yesu anakuja/amekuja kutokea Korea kusini? Wengi mlikariri atakuja kupitia Israeli, ila amekuja kupitia S Korea. Je, Wayahudi wataamini au watamkataa kama...
5 Reactions
136 Replies
5K Views
Timu za Uokoaji tarehe 23, Novemba 2024 zimeendelea na kazi ya kuondosha Vifusi na Mizigo kufuatia kuporomoka kwa Jengo Kariakoo Jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Zimamoto. Kuhusu ajali...
16 Reactions
79 Replies
8K Views
Wakuu naomba mnijuze vipindi vya Crown FM Radio na watangazaji wa vipindi hivyo maana kuna jamaa anaisifia sana hiyo redio. Tangu Crown FM ianzishwe sijabahatika kuisikiliza zaidi ya kuambiwa na...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
👉Mara nyingi, "sheria" ambazo hazija andikwa (Un-Written Laws), ndio huwa zinakuwa zinafanya kazi katika uhalisia kuliko sheria ambazo zimeandikwa. 👉Mimi huziita sheria za asili ama kanuni za...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Zacharia alizaliwa mwaka 1956 na kufariki mwaka 2021.apumzike nimemkumbuka kwa ushujaa wake 👉Harakati za uanajeshi tangu mwaka 1973-1982 👉Kifungo cha maisha jela 1982-1995 Baada ya jaribio la...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Aisee sijui shida nini wakuu mpaka leo watu tunaotumia NMB mshahara haujaingizwa au nyie wengine mshahara mmepata? Au umeingizwa?
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Asili ya hizi Dini Mbili. Tumsikilize ndugu yetu akituelezea hapa kwa logic kabisa. Bila kupepesa macho.
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Admins. Naona mnaondoa hizi Videos ambazo zinazungumza kwa ushahidi na wala si kashfa wala matuzi. Leo admin uliyepo ni yupi ambaye hutaki ukweli? Hakuna matusi wala kashfa.
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwijaku ametoa kilio chake kuhusiana na kodi ambapo amedai yeye kama influencer anaingiza Milioni 3 kwa siku lakini hajapata utaratibu wa kulipa kodi. hivyo amemuomba Rais Samia kuwapatia...
2 Reactions
4 Replies
537 Views
Rebeka na Kitambaa (Mwanzo 24:64-65) Rebeka, alipoenda kukutana na Isaka, alichukua kitambaa na kujifunika uso: "Rebeka akainua macho yake, alipomwona Isaka, akashuka juu ya ngamia. Akamwuliza...
11 Reactions
75 Replies
2K Views
Surah Al-Ankabut (29:14): "Na kwa hakika tuliwatuma Nuhu kwa watu wake, naye akakaa nao miaka elfu kasoro hamsini. Kisha tufani iliwakamata, nao walikuwa madhalimu." Halafu mtu akiishi miaka 100...
3 Reactions
11 Replies
420 Views
Jana wakati nipo nimekaa wakaja walokole 5 na mgeni 1. Wakaniuliza nina matatizo gani? Yaani changamoto gani ktk maisha inanisumbua. Nikawaambia sina pesa . Jamaa wakaniambia nifumbe macho tuanze...
5 Reactions
17 Replies
921 Views
Wakuu inaumiza, inakoroga na kukata maini kabisa. Fikiria kwanza vyoo vya umma vinavyoshughulikiwa kila baada ya dakika 6. Masizi, michanga, matope na chembechembe za vinyesi zinayotapaa pale...
2 Reactions
12 Replies
720 Views
Wakuu hii nchi ingekuwa na watu kama huyu proton pump aisee nchi ingesonga mbele itoshe kusema huyu jamaa ngoja nimpe maua yake hata kabla hajafa mwisho nakaonekana mnafiki jamaa ana madini sana...
2 Reactions
13 Replies
787 Views
Ndio hivyo dunia ianze kujiandaa Kwa Mambo mapya na Kwa maana hiyo vijana Someni Sayansi na Teknolojia Mshauri mkuu wa Rais wa Marekani amesema anatengeneza Mfumo wa kuwawezesha Watumishi wa...
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke. Hapo Sasa ndo ataanza kushituka. Ukweli ni kwamba...
1 Reactions
4 Replies
517 Views
Back
Top Bottom