Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 2,473
- 4,155
Bilion moja kwa matajiri sio kitu kikubwa Ila kuitafuta Bilion kwa watu wenye maisha ya kawaida kupata bilion moja sio rahisi hata kidogo.
Kama unabiashara au unalipwa mshahara na kufanikiwa kusave 1milion kila mwezi hutofanikiwa kufika Bilion moja mpaka unakufa. Iko hivi ukisave 1milion kwa Mwaka una Milion 12, sawa na Milion 120 kwa miaka 10 kwa umri wako wa zaidi ya miaka 20 hutotoboa kupata bilion 1😂
Sasa Kuna watu Wana matrilion afu Kuna mwenetu mmoja anataka kuwa Tajiri wa dunia. Mimi naamini ukiona kijana Ni tajiri Basi atakuwa Ni mwizi, au amerithi au Kuna ujanja ujanja Kama unabisha leta hoja😃
Uzi tayari