Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga ameridhishwa na ujenzi wa jengo la Wizara hiyo linalojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika Mji wa...
0 Reactions
4 Replies
593 Views
Wana JF mmelala? Jamani hivi hizi train zipo kwaajiri Gani? Ukiachana na SGR Kuna Train inaitwa Deluxe, watu WA kigoma mwanza Tabora mtakuwa mnanielewa. Hii Train inaelekea mkoani kutoka dares...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wandugu, Sio mara moja nimepata kusikia kuwa nyoka hupaa kuelekea angani kutokea baharini.Mwanzo nilidhani kama "chai flani" lakini baadaye nilibahatika kukutana na mtu ambaye anasema yeye...
21 Reactions
555 Replies
88K Views
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imetangaza kuwa itapiga mnada magari mbalimbali ambayo hayatumiki ikiwemo Range Rover Wagon siku ya Ijumaa Desemba 13, 2024. Mnada huo utafanyika katika...
1 Reactions
2 Replies
699 Views
Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo. Hivyo msishangae siku moja...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Ukwasi walionao baadhi ya mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya nchini umezua jambo: Watetezi wa haki za binadamu wamehoji walikopata ukwasi huo viongozi hao wa serikali. Ni hoja iliyoibuliwa na...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Hii ndiyo picha halisi ya marehemu PIcha ya TANZIA ni hii hapa chini Ndugu zangu Watanzania. Ni kweli kwamba kila kifo kina waombolezaji wake. Naomba sasa tujiulize maswali machache ili TRA...
67 Reactions
155 Replies
8K Views
Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa imefanikiwa kununua bunduki moja na kuanza kufanya msako wa kuua Mbwa, wanaozurura mitaani kiholela na kufanikwa kuua Mbwa 84 huku kundi la Mbwa 22 ambao...
0 Reactions
11 Replies
928 Views
Kuanzia utawala wa Magufuli Na huu wa Samia kuna hali moja ya kishetani sana inaendelea. Mgonjwa wako akifa hata kwa uzembe wa madaktari utazuiliwa kuchukia mwili wa nduguyo hadi ulipe mamilioni...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Teodora Mkunga (39), mkazi wa Lusange, Kata ya Mtombozi, Wilaya ya Morogoro, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Simon Gervas (8) kwa kumkata sehemu...
1 Reactions
3 Replies
583 Views
Nimekutana na schoolmate wangu wa primary ni kiwa mkoani miaka kama takribani 28 ilio pita, ni mefurahi kukutana nae tena sikutegemea kwasbb ni longtime sanaa tukanza kujuana zaidi kuhusu kazi...
37 Reactions
150 Replies
7K Views
Mwanafunzi anayesoma kidato cha pili mkazi wa kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ameelezea tukio la ubakaji alilofanyiwa na mzee wa miaka 62; "alisema nisiogope anafanya haraka na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kipindi cha mwaka 2020 kuna Ndugu zangu waliokuwa Canada walikuwa wanaagiza nguo na viatu kupitia DHL Kutoka hapa Bongo na sababu kuu walikuwa wanasma Bidhaa za Za mavazi Canada ni Ghali kupinduka...
37 Reactions
128 Replies
7K Views
Awali, Mdau wa JamiiForums.com alilalamikia utendaji kazi wa TASAF Wilaya ya Songea. Alidai Moja ya changamoto ambayo imekuwa ikitokea ni baadhi ya wahusika kuondoa wanufaika kwenye mfumo kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tumalize maadhimisho haya kwa kuahidi kuchukua hatua dhidi ya Ukatili wa Kijinsia na kujenga Dunia yenye Haki na Usawa Sote tuna jukumu la kuhakikisha tunakuwa sehemu ya suluhisho ili kuleta...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Hivi Wakuu! Hizi mita za maji zinazoibiwa si dili za watu kadhaa kutoka kwenye mamlaka husika jamani, maana wizi huu umetawala sana. ====== Zaidi ya mita 300 za maji zimeripotiwa kuibwa katika...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Kuna ukweli kwenye hili? Anasema kuwa: 1. Anasema mpaka sasa mbona tukisema tunaenda kuangalia majengo ya kale tunachokiona ni kazi ya mwarabu na mzungu, sisi ngome zetu zenye ubora kama ya...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Je, Professor anaweza Kuwa Chawa? Kama ndio, Uchawa unamsaidia nini kwa level ya kitaaluma aliyofikia? Je, kwake Uchawa itakuwa ni Baraka au Laana? Ahsanteni sana 🐼
2 Reactions
21 Replies
824 Views
Wadau wa mazao msimu wa korosho umeanza na umeanza vzr , nazn n vyema tukatumia forum hii kupeana update huko mnadani nini kinaendelea Naomba taarfa za bei za minada ziwe rasmi kuepusha mislidi...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Back
Top Bottom