Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau wa mazao msimu wa korosho umeanza na umeanza vzr , nazn n vyema tukatumia forum hii kupeana update huko mnadani nini kinaendelea Naomba taarfa za bei za minada ziwe rasmi kuepusha mislidi...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Hili jambo limenikuta maana kuna ndugu yangu amefariki tangu Alhamisi iliyopita, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Na tunavyoendelea niwajuze tu wanaenda kwenye kinyanganyiroo na members kadhàa wa nchi kadhaa. Rais atakaeenda kumrithi Hon Ndungulile atatokea Rwanda. Siandiki kwa chuki naandika kwa uhalisia...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Masheikh na vijana wa kiislam walioingia kichwa kichwa wakidhan maeneo mbali mbali ni vita ya dini ila ukweli. Leo ni ajabu neno jihad na friendly linawekwa kwenye sentence moja Wito wangu kwa...
3 Reactions
12 Replies
639 Views
Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa...
12 Reactions
271 Replies
15K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uliofanyika katika...
1 Reactions
2 Replies
377 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imeahirisha kesi inayowakabili washtakiwa tisa wa kesi ya mauaji ya Asimwe Novart, mtoto aliyekuwa na Ualbino ambaye aliuawa na baadhi ya viungo vyake kukutwa...
1 Reactions
5 Replies
631 Views
Kwa ujumla mimi siendagi Kariakoo Siyo sehemu salama, watu ni wengi sana, hakuna parking and kuna high level of noise pollution Ukiacha hayo matatizo madogo madogo, magorofa mengi yaliyojengwa...
4 Reactions
11 Replies
830 Views
Nini maana ya maisha?, Nini sababu ya uwepo huu?, Ni ipi siri ya safari hii? Nini maana yangu? Nini sababu ya uwepo wangu? Ni ipi siri ya uundaji wangu? Ni ujinga wangu au ni hatma ya safari...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa watanzania kuendelea kudumisha umoja, amani, upendo na mshikamano akiamini kwa kufanya hivyo ni kuimarisha Tunu ya msingi wa maendeleo katika Taifa...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa wananchi wa Wilaya ya Ileje kuungana na kushirikiana kwa pamoja kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwa kukemea na kushirikiana na Vyombo vya...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Wakuu, Nimeona kuna baadhi ya Wachaga wameshaanza kupanda Esta na Marangu Coach kuelekea kwao. Simu zenu hatutapokea Januari. Unaendaje Moshi mapema hivi? Una uhakika hiyo 500k yako ita-survive...
3 Reactions
4 Replies
437 Views
Habari za leo wakuu; Baada ya kupigwa sana na kuhangaika na watu mpaka level za kimahama kuhusu kuibiwa idea mbali mbali. Sasa nimekuja kwenu wadau kuomba hekima zenu kwa biashara hii ambayo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
ni jambo la kusikitisha kuna siku niliwahi sema humuu JF kumetapakaa matapeli na watu wa hovyo sana,, just assume watu wanaomba kazi humu mtu anadiriki kujifanya anakazi anakupatia tena...
0 Reactions
7 Replies
627 Views
Hivi huu mtindo wa kuita watu kwa kutanguliza neno "mzee" ni umetokana na nini? Halafu kwa nini ni wanasiasa tu wanaitwa wazee? Utasikia mzee Kikwete, mzee Mbowe, mzee Kinana, mzee Warioba, Mzee...
1 Reactions
5 Replies
598 Views
Mfalme Ogu anatajwa kwenye vitabu vya dini kuu tatu za mashariki ya kati yaani Uislam, Ukristo na Uyahudi. NB: Nimezingatia dini zote tatu zinavyomzungumzia Inaelezwa alikuwa ni mfalme...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile itaelekezwa kwa Mtanzania mwingine...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Akizaliwa ng'ombe au mbuzi wa aina hii kwenye boma lako, utamuua au utamfuga? Wakulima wengi huwaua, lakini kibaolojia hali hii inaitwa Incomplete Genetic Makeup, na hutokea hata kwa binadamu.
3 Reactions
10 Replies
636 Views
USAJILI WA WASICHANA NA WAVULANA WALIOKATIZA MASOMO YA ELIMU YA SEKONDARI Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima kupitia mradi wa SEQUIP-AEP unaotekelezwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa...
6 Reactions
6 Replies
866 Views
Back
Top Bottom