Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanza enzi hizo tulizoea jina moja tu la hoteli. Hili neno mgahawa lilikuja kama jipya/geni hivi na tukazoea taratibu kwahiyo hapa nitatumia neno mgahawa au hoteli kumaanisha kitu kimoja...
0 Reactions
6 Replies
635 Views
Habarini, Imekuwa ni shida kuwasiliana na nyie kwani hamjibu baruapepe,simu na sms. Na hata hao watumishi wenu ambao wameweza kupata namba zao hawapokei simu zao. Huu ni utendaji mbaya na...
2 Reactions
2 Replies
449 Views
Kulia au kushoto? Au inategemea na aina ya kitambulisho? Kwa mfano vyangu mimi; Cha kazi, cha NIDA na cha... picha ipo upande wa kulia ukiwa unavitazama Cha bima ya afya na vya shule vyote picha...
1 Reactions
1 Replies
296 Views
HIvi nyie Watu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) hapa Tabora huwa mnachukuliaje Wananchi? Tangu wiki iliyopita Kata ya Mwinyi hakuna huduma za maji na hata yanapotoka...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimelalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayowazuia watumishi wa umma kujihusisha na masuala...
2 Reactions
1 Replies
379 Views
Kiumri wamenizidi ila kielimu nimewazidi karibia wote. nipo katika kiwanda fulani hivi hapa Kanda ya kusini, nimepangiwa kusimamia wafanya usafi lakini kila nikiwakusanya na kuwapa maelekezo...
3 Reactions
17 Replies
775 Views
Nini kifanyike? Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka...
13 Reactions
57 Replies
5K Views
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, Elisante Ulomi amesema mdogo wake, Daisle Ulomi aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki jijini hapa, alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Naomba moderator uache Uzi huu ujitegemee Karibuni wenye hekima zenu mtupe maarifa
0 Reactions
0 Replies
132 Views
MAHAKAMA YAPONGEZWA KWA KUZINGATIA MISINGI YA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU. Maneno hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Bwana Ridhiwani Jakaya...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Ile kampuni pendwa ya USAFIRISHAJI nchini inapumulia Mashine baada ya Mama wa familia ambae alikua msimamizi Mkuu wa biashara kutangulia mbele ya Haki (RIP) Miaka kadhaa iliyopita. 1. Mabasi...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama. Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya...
2 Reactions
6 Replies
511 Views
Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma...
1 Reactions
4 Replies
540 Views
Kilogramu 614.12 za Dawa za Kulevya Zateketezwa Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya leo imeteketeza kilogramu 614.12 za dawa za kulevya katika kiwanda cha saruji...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Kwenu walezi wote wa watoto nawaombeni tushirikiane kuwafanya watoto wetu wa kiume wakue kiume na wawe wanaume halisi wa kesho 1. Nianze kwenu wazazi akina mama Toeni nafasi kwa watoto wenu wa...
12 Reactions
81 Replies
6K Views
Tunaomba Kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika Kata za Kikio na Misughaa Mkoa wa Singida. Kuna muda Mtandao unakuwa haupo inakuwa kero sana...
0 Reactions
7 Replies
738 Views
Government Procurement Service Agency (GPSA) tatizo ni management kama yule DBSS hafai kabisa kuwa ofisini ni fisadi halafu mbinafsi na mbaya Zaidi anawahonga wakaguzi wanapokuja kumkagua na mambo...
11 Reactions
293 Replies
55K Views
Nguvu waliyo nayo CHADEMA imewatisha sana Ari waliyo nayo CHADEMA imewaogopesha sana Uchaguzi wa kwanza serikali za mitaa uliosababisha mauaji ya wapinzani wengi kwa wakati mmoja kuna kivuli...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Yaani Toka zamani kila ninapoenda lazima nione Tandu na saa zingine kila room ninayokaa haipiti mwezi lazima nione Tandu na nilishawahi ng'antwa na Tandu why?
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom