Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni pale mpo katika kundi kutekeleza kazi fulani Katika lile kundi wapo watakao kaa pembeni kuangalia hawagusi chochote, Wapo watakao papasa tu ili mradi waonekane nao walishiriki kwenye hiyo kazi...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
Hatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka Mfumo...
10 Reactions
104 Replies
4K Views
Msaada naomba kupangiwa kwa mtiririko hivi vituo vitano (5) ukiwa unatokea mbezi kuelekea mlandizi: Njuweni(maili moja), visiga, misugusugu, kongowe na viziwaziwa.
2 Reactions
4 Replies
606 Views
Ukijisomea historia ya Africa kabla ya ukoloni hakukua na mashoga kabisa Katika masimulizi ya makabila na jamii zetu au soga za hadithi utani na vichekesho hakukua na hadithi za mtu alowahi kuwa...
13 Reactions
71 Replies
3K Views
Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda naomba utusaidie maelezo ya kina kuhusu shule za msingi za serikali zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza. Swali ni moja tu, KWA NINI MWANACHI ANALAZIMIKA...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Idara ya maji mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard Hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka mda huo huo na kutumika
0 Reactions
3 Replies
568 Views
Kwenye tarehe 10 Agosti 2019, Tanzania ilikumbwa na tukio la kusikitisha na kutisha ambalo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya kwa wengi. Ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro, karibu na eneo la...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
BLANKETI LA UJIMA LIONDOLEWE KATIKA MFUMO MPYA WA ELIMU. Serikali ya nchi yetu kupitia wizara ya elimu ipo katika maandalizi ya sera mpya ya elimu ambayo inamabadiliko makubwa na kwa kiasi kikubwa...
1 Reactions
4 Replies
433 Views
Uchimbaji huo wa mchanga umekuwa ukifanyika kwa zaidi ya miaka minne sasa, tumeripoti kwenye Mamlaka mbalimbali lakini bado wahusika wamekuwa wakiendelea na hivyo kuweka nyumba zetu kwenye hatari...
1 Reactions
1 Replies
613 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kushirikiana na Wakala wa Barabara (TANROADS) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kufanya...
0 Reactions
4 Replies
463 Views
UKIMILIKI PESA UMEMILIKI HISIA ZA KUJIAMINI NA UKIKOSA BASI UMEPOTEZA SEHEMU YA KUJIAMINI. Linapokuja suala la umiliki wa pesa basi tunazungumzia hisia ziletwazo na pesa ambavyo kwa namna yoyote...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilikuwa bado mgeni Wiliya flani mwaka 2022 mkoa x huko kaskazini. Nilipanga mitaa flani pembeni mwa mji, kumetulia karibu na kijito flani cha mchongo kilikuwa kinatiririsha maji na pembeni...
2 Reactions
5 Replies
648 Views
Wazee baada ya kudevela katika interview nyingi kwa uoga na presha sasa mwezi uliopita naweza kusema katika interview zote nilizowahi kuattend nakiri hii ya mwezi jana ilikuwa ndo ilikuwa the...
19 Reactions
50 Replies
2K Views
Salaam wakuu; Wahenga walisema"Kuhangaika bure sio sawa na kukaa bure,tena wakasema tembea uyaone. Naam, leo nilikuwa na vijisent vyangu vilivyotosha kwa nauli ya kwenda mahala fulani na...
4 Reactions
14 Replies
681 Views
Kwa ufupi mimi ni mtu ambaye nimenyooka, naheshimu sana watu, naheshimu muda wa watu, naheshimu mali za watu, naheshimu utu wa mtu, naheshimu uaminifu wa mtu kwangu. Na hii tabia nimerithi kwa...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Sisi Wananchi wa Kijiji cha Unyianga kilichopo Kata ya Mtamaa, Manispaa ya Singida tunalia kukosa huduma ya maji safi, ni miaka kadhaa sasa tangu ‘Danganya Toto’ ya kujengewa Tenki la Maji na...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Mhadhara - 49: ✍️Wakati tukiwa tunapambana na "Ukatili wa kijinsia kwa Mwanamke", tusisahau kuwa wapo baadhi ya wanaume pia wanapitia Ukatili wa Kijinsia. ✍️Kwa kuwa dhana ya ukatili ni pana...
2 Reactions
3 Replies
495 Views
Hassanein Hiridjee Ndio jina lake Yeye ni mmiliki wa Axian Group ambayo inamiliki Axian Telecom yenye makao yake nchini madagascar mwaka 2022 kampuni ya axian Telecom ilinunua hisa za Tigo na...
12 Reactions
44 Replies
5K Views
Wapendwa naomba niulize kwani ni Muda gani sahihi wa kumtakia mtu usiku mwema?
3 Reactions
10 Replies
570 Views
Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa...
1 Reactions
8 Replies
837 Views
Back
Top Bottom