Watu watano wa Familia moja Wakazi wa Kitongoji cha Nkangi kilichopo Kijiji cha Isangawana, Kata ya Matwiga, Tarafa ya Kipembawe, Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamefariki dunia kwa kupigwa na radi...
Nimeangalia Churchill Show iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Arusha, itoshe kusema comedy ya Tanzania ni mbovu sana, maudhui ni duni mno, unaona wazi watu wanatumia nguvu kubwa sana kucheka na...
Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake.
Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla.
Je dunia...
MKURUGENZI hapo Kitaa ambaye unapambana sana kuhakikisha huyo Mwanamke anakupenda, fikiria muda unaopoteza wenzako wanafanya nini kwa ajili ya kesho yao!
Amua sasa wakati unahangaika kumjazia...
Jana Nilikuwa nikisafiri kutoka Dar to Mwanza for sherehe za Christmas & New year 2025 kwakweli safari ilikuwa nzuri sana tena nikakunjia njia ya Tabora baada ya kufika Manyoni; Shida ilianza...
MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA
Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma...
Nilikuwa Nina shida Fulani, itabidi nikamuone shekhe ndio anaweza kunisaidia, ila baada ya kunisomea Dua , akanipa hili karatasi kama niweke kwenye wallet
Naomba tasfiri yake wakuu, isije ikawa...
Watanzania kuna nyakati tuambizane ukweli, mji kama Kahama ukitoa ule mgodi wa Buzwagi nini kinabaki pale Kahama? Kuna raia humu watataja car wash, guest house, bajaji, frame, saloon, maduka ya...
▪️Washiriki Bonanza la Michezo na Askari Magereza
▪️Watoa misaada mbalimbali kwa wafungwa
▪️Wafanya ukarabati wa Jiko lq
chakula kwa Wafungwa wanawake
▪️Jeshi la Magereza lapongezwa kwa...
Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki...
Salaam, Shalom!!
1. Mchawi anapokujia usiku, akijua wewe u Roho, utamwona,hupaka unga usoni kisha hunuiza maneno Fulani Fulani Ili asionekane, na nuizo Hilo huambatana na kufunika sura yake Kwa...
Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso.Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie...
Kuna kikundi Cha wahindi wanatembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Pesa za mitandao (mobile money) na kuwaibia kwa njia ya viinimacho (chuma ulete).
Wako kikundi la watu zaidi ya watatu kwenye...
Ukiwa unatumia vifaa vya umeme, haijalishi kama umeme unaotumia unaenda katika uzalishaji halisi au upotevu—vyote utavilipia.
Hii ina maana kwamba Tanesco (kihalali) wanakulipisha:
1. Nguvu...
YANGA OMARY RAIS WA TANGA
Kuanzia mwaka 2016, Watu maarufu kama MAPEDEJEE walikuwa na wakati mgumu sana.
Watu hawa ambao walikuwa wakiimbwa na kusifiwa na wanamziki wa dansi Walianza “kusomeshwa...
Jiulize mtoto
1. Aliyebakwa
2. Aliyelawitiwa
3.Aliyetelekezwa na wazazi
4. Aliyekataliwa
5. Aliyeshuhudia baba akimpiga mama.
6. Aliyeshuhudia mama akimpiga baba
7. Aliyeshuhudia baba na mamá...
Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini...
Aggrey niliwahi kumuona mara 4 wakati ni shoga.Alikua amechunda,havutii hana nuru mwenye tumbo kubwa kama pakacha na tabasamu la kufosi
Baada ya kubatizwa nimemuona live mara moja.Amekonda...
Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.