Aggrey niliwahi kumuona mara 4 wakati ni shoga.Alikua amechunda,havutii hana nuru mwenye tumbo kubwa kama pakacha na tabasamu la kufosi
Baada ya kubatizwa nimemuona live mara moja.Amekonda...
Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya...
Lamwike JF
Huku kijijini kwetu Njelela kilichopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe kuna Mwalimu anatutesa sana, kwa sasa amekaimu Utendaji wa Kijiji baada ya Mtendaji aliyekuwepo...
Wakuu naomba mnisaidie kutoa tongotongo kwenye huu mradi mkubwa wa ujenzi wa treni ya SGR.
Hivi sisi wazawa tunaruhusiwa kusambaza huduma au bidhaa zipi?
Hali ni mbaya sana sasa hivi kwa mitandao ya simu kuhusu swala la kununua umeme kupitia simi za viganjani.
Imagine unanunua umeme kupitia twigoopesa unakaa masaa matatu hakuna token na giza...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive...
Katika harakati za kurekebisha majina ya cheti cha kuzaliwa yafanane na yale yaliyo kwenye vyeti vya taaluma nilikwenda RITA wilaya ya LINDI Mjini, mara ya kwanza nikalipia na kuacha MAJINA SAHIHI...
Watoto huchagua wazazi wao kabla hawaja zaliwa. Kwa lugha nyepesi, ni kwamba wazazi ulio nao, uliwachagua mwenyewe kabla haujazaliwa.
MTOTO HUCHAGUA VIPI WAZAZI KABLA...
Nitakachoenda kukieleza kitakuwa sio kigeni sana kwa watu waliofuatilia story yangu ambayo ilikuwa ni Live Story/True story ambapo story yenyewe nilianza kuipost humu mwezi kama huu July tarehe 6...
Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao.
Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu.
Pamoja na yote hayo...
Wakuu,
"Nikifa nizikwe kama Waislamu siyo nizikwe Kiislam, miaka ya leo tumekuwa na misiba yenye mbwembwe nyingi sana bajeti ya mamilioni zinakwenda kuupa ufahari msiba lakini baada ya wiki...
Kuna changamo kwa kanisa sasa hivi kuna wahubiri huhubiri kuwa kanisa limekufa
Mfu hasikii sauti yeyote kinachotakiwa ni hao wahubiri kuwa na nguvu ya kufufua
Fikiria Yesu angekuwa anazurura...
Hapa Dodoma mjini kuna ujenzi wa barabara ya Lami kutoka mjini kati kwenda Ntyuka [Dampo] kama kilometres 9, barabara ilifika hatua ya kumwaga changarawe, barabara imesimama toka mwezi wa tano...
Wakoloni walipokuja hawakuwa wengi katika maumbile ila walikuwa wengi kichwani na wakatengeneza wengi katika wale wanao watawala
Walifahamu jamii zilikuwa na migogoro hivyo waliifwata jamii...
Wapendwa wanajf habari za usiku,
Leo akili imetulia nimeona nitoe simulizi fupi ya jinsi nilivyoweza kupoteza tsh 1.8M.
Mara baada ya kugraduate pale SUA na (BSC GM) na kushindwa kupata tempo...
Leo ni sikukuu ya Christmas .. Siku kubwa ulimwengu kote.. Kwa wiki nzima hii yametokea matukio ambayo yatakuwa ni simulizi za kukumbuka miaka mingi iijayo
Mimi ninazo simulizi mbili nawe kama...
# Tokyo Flood Tunnels, an underground engineering marvel that protects the city from flash floods.
#
# These tunnels, located beneath Tokyo’s bustling streets, are a stunning example of modern...
Leo kabla ya Mechi ya Yanga Kuanza. Kuna mteja alikua anahitaji Bidhaa Fulani
Tulipofikia Makubaliano ya Hiyo Bidhaa nikakubaliana nae kumfikishia anapoishi( deliver).
Sasa Mara Baada ya Kufika...
Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?
Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.