Habari wanajamvi,
Nchi yetu kwa upande wa bidhaa za viwandani inaitegemea china kwa 85% kwa sababu mchina anazalisha bidhaa za bei nafuu.
Tungekuwa tunategemea nchi za magharibi kutuuzi bidhaa...
Salaam,Shalom!!
Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha?
Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake...
Ndugu kuelekea kuanza mwaka 2025
Unapopanga mafanikio yatakavoendelea mwaka 2025
Naomba tufanye kazi kwa pamoja Mimi nitakufanyia kazi yako kwa uaminifu
1. Kwa anaehtji kufanya biashra ya...
Hawa jamaa Makachu divers wamejizolea sifa nyingi zanziber lakini ghafla serikali ya zanziber imesitisha huu mchezo. Ila nasikia wamehamia coco beach.
Kabla ya kuruhusu huu mchezo ni bora...
Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza...
Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.
Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa...
Alaaniwe yule mtangazaji wa redio (kama siyo tbc basi ni radio free) ambaye alitangaza kwamba mdada (mmama) yule amekufa. Ili nisiwaache wengine hapa ngoja nifafanue kidogo, huyu Christy Cheung ni...
Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Editha Andason, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, uliopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, aliyeuawa kwa kunyongwa kwa mtandio...
Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV.
Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia.
Pia kama ulikuwa...
Kuna ubaguzi mkubwa kwenye taasisi ya vyuo vya mifugo LITA kwa watumishi kupata stahiki kulingana na mtumishi kuwa karibu na mwenye kitengo.
Changamoto imezalisha chuki kwa watumishi pia hawana...
Wana Jamvi kheri ya Sikukuu na mwaka mpya 2025. Kuna jambo naomba lilete kwenu hapa, juzi Desemba 24 nilikuwa miongoni mwa abiria zaidi ya 71 tuliosafiri na Basi la Nyehunge linalofanya safari...
Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli.
Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona...
Watu wanawaleta wagonjwa wa akili makanisani harafu wanasema Wana mapepo.
Matokeo yake ndio hayo na Pastor Kwa kutojielewa na kutaka aonekane anakubalika Kwa watu wake akapotezea kwenda Hospitali...
Inakuwaje wanajamvi.
Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.