and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,513
- 40,354
Benki ya Maendeleo ya Kilimo inamlenga Nani?Hii benki pendwa imemlenga Nani? Toka ianzishwe imesaidia wakulima wangapi? Wapi? Lipo la kujivunia?
Labda ViongoziWengi sana un countable
Source pleaseWengi sana un countable
Lete ushahidi tafadhaliWengi sana un countable
Benki ya Maendeleo ya Kilimo inamlenga Nani?Hii benki pendwa imemlenga Nani? Toka ianzishwe imesaidia wakulima wangapi? Wapi? Lipo la kujivunia?
Wenye sifa hizo plus certified banker ukienda babu hupati KAZi yaani nakuhakikishia hata upeleke maombi kwa mkono, posta na mails hawakuiti hata kwenye interview wakishirikiana na dada zao TIB na Rasilimali BankInatakiwa hii benki iajiri watu kwenye weledi wa fedha kama kwenye Msc. FINANCE ndio wasaidie benki ipate heshima!!!