Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ubaya Ubwela Gusa achia Twende kwao Sicheki na Wowote Ninge comment ila Mwanasheria wangu yupo likizo We huogopi..! Yanga hii unaifungaje? Mtoto Kautaka Naijua hiyo Kipengele uje nacho wewe tajiri...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wenye kufahamu gharama za kukodisha hizo gari coaster tokea dar mpaka moshi ,kwenda na kurudi.
2 Reactions
4 Replies
627 Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa...
1 Reactions
62 Replies
4K Views
Mwaka 2021 alipo kufa kiongozi wa nchi afande sele Alimtukana mungu akina kishki sure kipozeoo wanaojiita mashekhe walimsomeaa dua jee afande alikufaa? Au Allah hana uwezoo
3 Reactions
17 Replies
538 Views
Tarehe 1 Januari itakuwa siku yako ya baraka sana #idai
4 Reactions
30 Replies
981 Views
Ndio imeshatokea Mzee Assey kakataa zawadi ya spacio aliyopewa na mkwe wake akidai hayo ni magari ya wendawazimu, Kuna wazee hawana adabu kabisa , Kwani spacio ina tatizo gani kwa kutumika kama...
14 Reactions
74 Replies
4K Views
Siku hizi watu wengi sana wanakomaa na Gym kwamba wananaenda kuweka mwili sawa, wanaenda kutengeneza mwili ikae sawa kiafya, wengine ni johing kila asubuhi wengine weekend. Kitu wasichokijua ni...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na...
19 Reactions
200 Replies
6K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda, ameweka wazi kuwa kipindi alichopitia kimekuwa kigumu sana maishani mwake, lakini imani yake kwa Mungu imemsaidia kuvuka changamoto hizo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Members wa Jm F Niwaletee kisa cha Jamaa yetu mmoja ukiwa na ushauri mzuri nitampelekea. Ujumbe huo. Kijana mwenzetu kutoka moshi Ana hisi kukata Tamaa maana amefanya biashara ya duka Nikaenda...
1 Reactions
5 Replies
653 Views
Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Imekuwa too much sasa, Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui...
5 Reactions
27 Replies
984 Views
Katika hali ya kawaida watu wengi hujikuta wamefanya makosa mbali mbali ikiwamo ya Usaliti. Makosa hayo yanaweza kufanyika kwa kukusudia au kwa kutokukusudia. Wakati mwingine inakubidi ufanye...
7 Reactions
86 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa quruan ni kwamba mwanaume wa akislamu akifa mwema anapewa wanawake bicra 72 hukoo peponi sada jee mwanamke akiwa mwema yeye atapewa wanaume 72? .
1 Reactions
13 Replies
510 Views
UHALISIA : REALITY (uhalisia) tunautengeneza ndani ya fikra zetu,Tunaweza Kuubadili uhalisia kwa kuanza kubadili mfumo wa FIKRA zetu.😎 : Usikubali kukosewa HESHIMA kabisa hata kutoka kwako wewe...
1 Reactions
1 Replies
266 Views
Habari wakuu. Jana kampuni za magari ya Honda na Nissan zilifanya mazungumzo ya kibiashara na kuungana ili kukabiliana na ushindani uliopo kwenye soko la magari. Muungano huu unalenga kutoa...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua...
2 Reactions
7 Replies
687 Views
Kila Mwanajeshi ninayekutana naye wa Uganda (hasa Maafisa) na wengi wao walioko katika Kikosi cha Ulinzi cha Rais Museveni na wakubwa wao walikoko Makao Makuu yao ya Mbuya na wale walioko katika...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh. Habari ya majukumu hapo ofisini kwako, bila shaka umzima wa afya na waendelea vyema na majukumu waliyokupatia waislamu katika kukitumikia kiti hicho...
2 Reactions
0 Replies
438 Views
Nchi nyingi zenye Waislamu wengi zinakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, hali inayochangiwa na sababu za kihistoria, kitamaduni, na taasisi. Nchi kama Morocco na Yemen, licha ya historia...
3 Reactions
107 Replies
3K Views
Back
Top Bottom