Barabara ya Kibada-Mwasonga imekuwa na ajali nyingi na ndugu zetu wengi wamepoteza maisha, iwekwe matuta. Hii ni wiki ya pili ilitokea ajali asubuhi Mwasonga karibu na Kituo cha Mafuta cha Asam...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Kwenda kwa:
Makamu Mkuu wa Chuo
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO
Husika na kichwa cha habari
Sisi ni...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana wadogo kuvuka mipaka bila...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa na Vituo vikuu viwili (mabasi na teni) vyote vyene jina mtu mmoja ndani ya Jiji moja kubwa la Dar?? Vyote vinaitwa vituo vya Magufuli...
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC.
Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa...
Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) imekutanisha wadau wa Sekta ya Tumbaku nchini kwa lengo la kutafakari na kuweka mikakati ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 pamoja na Mpango Kabambe...
Jamani nimeweka kidole tarehe 10/8/2026 paka leo tarehe 18 sijafanikiwa kupata hela zangu jamani
Kwani inachukuwa siku ngapi nssf? jamani familia zetu zitakufa njaa mke na mtoto watakula nini...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza jitihada za kumtafuta mtoto mmoja aliyeonekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akijisomea usiku kwa kutumia mwanga wa taa ya nyumba ya jirani...
Aliyekuwa mwajiriwa wa CHADEMA kama Katibu wa Kanda ya Serengeti kuanzia Julai 27, 2013 hadi Desemba 31, 2020 anaendelea kupigania haki yake katika Mahakama kufuatia kuzungushwa na uongozi wa...
Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeripotiwa kuzuka tena kwa mara ya pili ndani ya mwezi huu wa septemba.
Moto wa kwanza uliripotiwa kuzuka September 3 katika eneo la Kikererwa...
WAKUU, KUNA WAKATI MAISHA YANAKUFUNDISHA KIMYA KIMYA...
Kuna kipindi mtu anafika mahali anaacha kulalamika kuhusu maisha na anaanza kujiuliza maswali mazito.
Kwa nini mtu mmoja anaanza maisha...
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dodoma Mjini tunakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji, ambapo maji hayajatoka kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Tatizo hili limekuwa kubwa zaidi katika...
Kuna memba mmoja humu niliwahi mjibu nikwambia asije akadanganyika na hao wanasiasa kwamba kila mkoa kutajengwa viwanja vya ndege, haiwezekani hata siku moja jamaa kama alipaniki sana.
Marekani...
Ahsante kwa wote waliotukimbia wakati tulipohitaji uwepo wao. Ahsante kwa waliotuona hatuna cha kuwashauri wala kuwasaidia; walitupa sababu ya kuwa bora zaidi.
Ahsante kwa waliotuacha walipopata...
Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha...
Dkt Juma Homera aliteuliwa 18/11/2025 kuwa waziri wa katiba na sheria.
27/09/2026
Dkt Juma Homera ameteuliwa kuwa waziri wa nishati
Hii inaathari gani ?
Sekta ya utalii nchini Tanzania ilifunga mwaka 2025 kwa mafanikio makubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Utafiti wa Wageni Wanaotoka Nje ya Nchi (International Visitors' Exit Survey) mnamo mwaka 2001...
Kwa siku kadhaa sasa, Taa za kuongozea magari zilizopo Tazara ambapo pia kuna njia ya kwenda Buruguni na Airport hazifanyi kazi, vyombo vya moto na watu wanaovuka kwa miguu wote wanapotaka kuvuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.