Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na Hatibu Shemnyama, Hisia za kielektroniki ni hisia dhahania zinazojitengeneza katika fikra za mtu kupitia maandishi na taswira zinazoonekana kwenye mitandao ya kijamii. Watu wengi wameathiriwa...
1 Reactions
3 Replies
81 Views
Wakulungwa hivi ukitaka kubadili jina JF unabadili wap? Nipeni muongozo nataka niweke jina la kibiashara ili iwe rahisi kupata wateja humu JF.
6 Reactions
12 Replies
123 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amezitaka Taasisi na Mashirika ya Umma kupunguza baadhi ya matumizi na kuelekeza fedha katika kuwajengea uzoefu Vijana...
0 Reactions
8 Replies
319 Views
Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za...
2 Reactions
14 Replies
364 Views
Ikitokea umepata anguko la kiuchumi hio akiba uliyo nayo sasa itakulisha muda gani? kuna raia hawatoboi week Moja.
5 Reactions
82 Replies
973 Views
  • Redirect
ARUSHA, Agosti 28, 2026 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ametoa wiki mbili kwa Wizara ya Mipango na Uwekezaji, Fedha na Kilimo kuandaa mpango wa mafunzo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Chunya, Mbeya Wanawake Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, wameonesha mwitikio mkubwa na kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea wilayani humo. Kupitia kliniki hiyo...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya...
6 Reactions
468 Replies
581K Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki hafla ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Wananchi mkoani Tabora wameendelea kunufaika na Kliniki ya Ardhi Kidijiti kupitia elimu, ushauri na suluhu mbalimbali za masuala ya ardhi zinazotolewa na Mabaraza ya Ardhi. Msajili Msaidizi wa...
0 Reactions
3 Replies
99 Views
Mwanzilishi mwenza wa Microsoft, Bill Gates, ametoa wito kwa wabunge na vyombo vya sheria nchini Marekani kuweka udhibiti katika maendeleo ya teknolojia ya akili mnemba (Al), akisema teknolojia...
4 Reactions
16 Replies
296 Views
Afisa Mfawidhi wa Hali ya Hewa Mkoa wa Kigoma (RMO), Mugisha Kyaruzi, amesema mvua inayotarajiwa kunyesha katika kipindi kijacho inatajwa kuwa ya kipekee kutokana na ukubwa wake, akieleza kuwa...
1 Reactions
8 Replies
300 Views
TABORA Wananchi wa Mkoa wa Tabora wameendelea kunufaika na huduma zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi Kidijiti, ambapo jumla ya Hati Miliki za Ardhi zaidi ya 200 zimetolewa kwa wananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Waziri Mkuu wa Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani wakishuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa makubaliano ya...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
No body can "willingly"avoid Israel technological advances
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi...
6 Reactions
22 Replies
274 Views
Serikali imesema imeweka mikakati madhubuti ya kudhibiti unyanyasaji na kulinda haki za Watanzania wanaokwenda kufanya kazi nje ya nchi, hususan katika nchi za Kiarabu, kwa kuimarisha usimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa. Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu...
3 Reactions
4 Replies
44 Views
Baada ya kuona uteuzi wa kadogosa , nimejiuliza hivi huku wilayani na vijjijini Kuna shida gani,Tangu nimezaliwa Hadi nafika umri huu ,sijawahi kuona mbena,mkinga, mhehe nk anaishi jombe kateuliwa...
1 Reactions
1 Replies
85 Views
NIMEPIGA SHIDA SANA Kuna kipindi kwenye maisha ambacho mtu anafika mahali anaishi siku moja baada ya nyingine. Si kwa sababu hana ndoto, bali kwa sababu safari imemfundisha kutembea taratibu...
1 Reactions
4 Replies
102 Views
Back
Top Bottom