Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa manew comers wabongo wapya wapambanaji. Kazi rahisi kupata nchini Marekani mara nyingi ni kazi za kuingizio (entry-level) ambazo hazihitaji ujuzi maalum au uzoefu mrefu. Hapa ni baadhi ya kazi...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Leo nimeota naongea na yesu Kristo ameniambia mambo mengi sana ila mengine ameniambia nisiseme. Amesema kuanzia jumatatu atakuja Make sure mnatenda mema
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Majina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee? Kijiji hicho kipo Lindi. Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani...
10 Reactions
238 Replies
10K Views
Tangu mwaka kuanza nadhani hiki ni kipindi cha kwanza bora itv kuhusiana na kuendesha biashara Kariakoo kwa saa 24. Chalamila leo katulia. Anajenga hoja. Inaonekana alijiandaa ilivyo kwa kipindi...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Hii miezi ni kipindi cha mapenzi mubashara na wapenda dini sana kuingia kwenye ndoa.
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Pamoja na demand ndogo ya taifa letu kupokea wanafunzi wa nchi za nje lakini katika hao, sehemu kubwa wananyooka moja kwa moja Udsm, Ni kwamba hawaoni vyuo vingine ? Byuo vingine ni nadra sana na...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Tunakumbushana. Uchaguzi wa viongozi wa kanisa utakuwa mwaka huu katika GC Session itakayoketi pale America’s Center Convention Complex, St. Louis, Missouri, USA, session ambayo itarudi katika...
3 Reactions
16 Replies
742 Views
Baada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi...
6 Reactions
57 Replies
5K Views
Kabla ya kufahamu ubatizo ni nini…Hebu jiulize mtu katokea na akakuuliza “kuzamisha maana yake ni nini?”..utamjibuje?…Bila shaka utamwelezea kwa kina kwamba ni kitendo cha kukitosa kitu chote...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter MADHARA YAKE Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku...
2 Reactions
12 Replies
804 Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Kwema Wakuu! Hatufuatiliani wala hatupangiani maisha. Ila tunakumbushana huku nami nikijikumbusha pia Kwa Nia nzuri tuu. Ili baadaye tusijekujikuta katika Huzuni kuu. Vijana tunapoambiwa tule na...
193 Reactions
415 Replies
35K Views
Wakuu, Vitu kama hivi vinapaswa viwe vinafundishwa darasani, kuna namna mitaala yetu inabidi ibadilishwe kabisa
2 Reactions
12 Replies
675 Views
Majaribio hayo yaliyoanza katika Nchi za Tanzania, Uganda na Afrika Kusini yamesitishwa kutokana na takwimu za waliochanjwa kuonesha Chanjo waliyopata haina ufanisi katika kuzuia maambukizi ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Anonymous
Maji yanatoka usiku wa manane na yanachuruzika kidogo sana inachukua takriban dakika 10 kujaza ndoo kubwa. Tunashindwa kutambua tatizo ni line za maji au ni sisi. Pia bill ya maji inakuja kubwa...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Niamini Mimi huwezi kuwa member actually active kwenye JF alafu ukawa huna mafanikio kwenye maisha magumu Kama upo kwenye maisha. Magumu ni suala la muda Kama ni jobless ni suala la muda tu...
11 Reactions
32 Replies
831 Views
Waasi wa M23 wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambao wanaungwa mkono na Rwanda wanaripotiwa kuuteka uwanja wa ndege wa kimkakati wa Kavumba karibu na Bukavu, mji mkuu wa jimbo la...
1 Reactions
1 Replies
432 Views
Watu wengi hawajui Historia ya hili Taifa la Mungu. Israel ndio waliokabidhiwa Nchi ya Kanani , miaka zaidi ya 1800 kabla ya kurudi kwao Kanani mnamo mwaka 1948, walitawanyika katika mataifa...
0 Reactions
13 Replies
673 Views
Maslahi ya mada, 1. Mzee Mwinyi alikuwa Mzee sana kiasi cha kutegemewa kufanya maamuzi yoyote! Kwa umri wake alikuwa kama mtoto akifanyiwa kila kitu. 2. Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili. Kama...
15 Reactions
101 Replies
10K Views
Aiseee, Yani sasa hivi hata thamani ya utu imepotea, Naamini hata babu yako akiamka leo toka kaburini akute jinsi unavyo samabaratisha moyo wako kwa kuunda uongo uongo ndani yako ili mtu fulani...
2 Reactions
12 Replies
552 Views
Back
Top Bottom