Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jamvi! Nisiwachoshe kama ambavyo hampendi kuchoshwa. Mwaka jana mwezi wa nane nikifanikiwa kutimiza haja ya moyo wangu baada ya kufanya savings ya miaka 25 kukusanya pesa ya mtaji...
2 Reactions
3 Replies
418 Views
Ndugu Mteja, Tunapitia kipindi cha maboresho muhimu kwenye mifumo yetu ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha zaidi huduma. Katika siku chache zilizopita, huenda umekumbana na changamoto katika...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na...
11 Reactions
178 Replies
12K Views
Wanasema msanii ni kioo cha jamii na kama unavyojua kioo hakibuni na kutengeneza taswira kutoka kusikojulikana bali huonesha taswira ya kitu kilekile kilicho mbele yake. Kwa lugha nyepesi ni...
1 Reactions
5 Replies
676 Views
2022 tulipata kazi fulani nanyumbu Ilikuwa tunaifanya katika kambi za Jeshi ni special task kuwafanyia geo survey so tulipomaliza tu wenzangu wakarudi home mimi nikawa interest na stori za...
82 Reactions
90 Replies
12K Views
Katika kulinda Utawala wa Sheria, Nafasi ya Asasi za Kiraia, na Uwajibikaji nchini Tanzania kupitia mashirikiano yaliyoboreshwa, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesaini...
1 Reactions
0 Replies
267 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Februari 2025, amefungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja...
1 Reactions
0 Replies
297 Views
Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini? Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali...
27 Reactions
192 Replies
6K Views
Ni bahati mbaya sana kuona mawasiliano mengi ya Ofisi na Taasisi za Umma zitumii namba za simu walizoweka katika mtandao hasa za TTCL. Simu nyingi hazipatikani kwa kuwa hazijalipiwa hivyo kuleta...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Habari za mda huu , JIna langu naitwa Geofrey ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya uhandisi .Pamoja na masomo yangu nimejitengenezea msingi imara wa uelewa wa biashara kwa kusoma vitabu tofauti...
2 Reactions
2 Replies
411 Views
Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho Nimekuwa...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
MAKING AMERICA GREAT AGAIN. Trump ameamua hakuna kulala mpaka kieleweke. Ikiwa bado suala la USAID linafukuta, Raisi wa Marekani Donald Trump amesema balozi zote za Marekani nchi mbalimbali...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Ktk hali ya kustaajabisha juz waziri mkuu wa zamni wa Kenya ndugu Raila omong Odinga alikwenda nchini Burundi kuomba uungwaji mkono kwa rais wa Burundi kweny kinyanganyiro cha mwenyekiti wa umoja...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu, Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake ================================================= Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Mwezi na tarehe kama ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge.. Sasa yeye sijui alitaka niwe na boksa zipi maana...
18 Reactions
25 Replies
1K Views
👉🏾Enyi kizazi cha 2000! ,nafuraha kukujuza yafuatayo! Kadiri ya mapokeo ya Kanisa, tarehe 14 Februari inahusishwa na kumbukumbu ya Valentine, ambaye alikuwa kasisi aliyeishi katika karne ya tatu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Bodaboda wanahitaji maombi sana ili wamrudie Mungu Hawa vijana ni kama wengi wamefungwa bila wao kujua. Kanisa ndio sehemu sahihi ya mtu kupata msaada na maarifa ya kupata pesa kihalali huko club...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu Habari Za Uzima, Nimekuwa Msomaji na Mfuatiliaji Wa Stories Mbalimbali Humu Jamiiforums, Kuna Members Walileta Story hizi ila Zikanipotea, Naomba Mwenye Nazo Au Mwenye Link Anisaidie. 1...
2 Reactions
3 Replies
473 Views
Back
Top Bottom