Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

==== Saa 10 Usiku: Zoezi la kuondoa lori lililoparamia watu linaendelea Bado vyombo vya uokoaji vinapambana kulinyanyua lori lililoacha barabara na kuparamia abiria na baadhi ya madereva...
5 Reactions
89 Replies
7K Views
USAMBAZAJI WA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye vijiji 68 linayo miradi ya usambazaji wa maji ya bomba ndani ya vijiji vyote 68 - tunaishukuru sana Serikali yetu Mradi...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Heshima kwenu Wakuu, Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki...
27 Reactions
217 Replies
6K Views
aada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi...
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Malezi ya waafrika nyumbani hadi shuleni huwa ya kuwanyoosha wawe watu wenye nidhamu. Hupewa adhabu kali iwapo watashindwa kufuata nidhamu. Sasa inakuwaje watu kama hawa wakiwa watu wazima...
4 Reactions
16 Replies
632 Views
Tuna visa vingi sana vya mauaji ya kutisha ya watu wa kawaida na watu walemavu hasa wenye ulemavu wa ngozi Tuna visa vingi vya mauaji ya kikatili na watu kunyofolewa viungo-tukio la karibuni...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
Habari wana jamvi!? Nimekua katika masuala ya kitaifa kwa mda wa miaka 20, nimeona kwa namna tofauti tofauti jinsi mambo yanavyo endeshwa kisiasa, kiuchumi, mpaka kimadaraka na kugundua hiki kitu...
4 Reactions
14 Replies
850 Views
Hizi taarifa za serikali naona kama zinanipa maswali mengi bila majibu. Mei 2024 aliekua waziri wa Utalii Angela Kairuki alisema kwa mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii Milioni 1.8, ambayo ilikua...
4 Reactions
11 Replies
858 Views
Haya maono niliyapata kitambo sana ila leo nimeamua kuyawasilisha. Watu wengi wana mtindo wa kununua maeneo halafu wanatafuta mwenyeji wa pale wanamkabidhi awalindie. Wanamruhusu "mlinzi wao"...
1 Reactions
5 Replies
379 Views
CREATING DEMONS THROUGH MASTURBATION & FORNICATION! Sefer haZohar ~ Rabbi Yehuda said: When a man emits seed in vain, those drops of seed go forth and ascend into the air. They do not enter the...
0 Reactions
2 Replies
404 Views
Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
6 Reactions
7 Replies
806 Views
Hii rule ipo kwenye nyanja 5; 1. Kibinafsi 2. Kifamilia 3. Kiimani 4. Kikazi 5. Kimahusiano Naomba nizungumzie kwa upande wa Kibinafsi na Kiimani. Sisi binadamu tumekuja Duniani kuishi na...
31 Reactions
172 Replies
9K Views
Basi bwana katika kujitafuta tafuta mwanetu tumuite Jina "machimu" Tuliishi kwa upendo sana wote tukiwa level moja hali ya chini Siku zinakwenda "machimu" akapata deal chunya akaenda...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la...
2 Reactions
8 Replies
709 Views
Habari kuruta, hivi hizi tovuti za serikali au zozote zile za hapa nchini zinatengenezwa na nani? Seva zake zipo wapi? Mbona zimejaa madudu! Plus zipo slow sana kuLOAD na mambo mengine. Karibia...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga, kuhakikisha mkandarasi wa barabara ya...
0 Reactions
1 Replies
501 Views
Weledi wa kazi umepunguwa, watu wamegeuka miungu watu , yaan fulu tafurani. Kuna Mahali nilikuwepo kama wiki tatu, watumishi wanaingia kazin kuanzia mishale ya saa tatu mpaka nne Asubuhi . Saa...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), leo Tarehe 15 Februari, 2025 Addis Ababa...
1 Reactions
4 Replies
655 Views
Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba. Pia wanasiasa wasiojua...
3 Reactions
1 Replies
427 Views
Waziri anayehusika na utumishi Simbachawene asema asilimia 40 ya wafanyakazi wa serikali ni mizigo swali kwa nini hawaachishwi kazi? Wapishe wengine? Serikali kwa nini inaendelea kuwakumbatia...
11 Reactions
115 Replies
6K Views
Back
Top Bottom