Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

PRIME 3RD BEACH PLOT FOR SALE 🌴🌊 📍 Location: Mbezi Beach, Kidimbwi 📏 Plot Size: 2,509 SQM ✅Fenced: with Planted Palm Trees ✅Title Deed: Ready ✅Suitable for: Apartments, Villa...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
1. Myebusi siyo romantic. Huwezi mkuta Myebusi anabembeleza demu au anakuwa romantic. Yupo very strict and calm. Ila anajua sana kulea familia. 2. Myebusi hakimbii mtoto au mke. Myebusi unaweza...
3 Reactions
17 Replies
128 Views
Hiii ni kwa mabimkubwa wote Duniani Sijui kwanini huwa kuna upendo mkubwa kutoka kwa mzazi hasa mama kwa watoto wake
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Msodoku ni mwanaume rijali na ngangali hasa mwenye mfumo dume na mkakamavu. Anayejua majukumu yake ni kumlinda mwanamke. Wanaume waliumbwa hivyo wawe Wasodoku kisha Wayebusi. Basi tu wakaja...
0 Reactions
0 Replies
14 Views
Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya ub***o wa mwanaume mwingine.. Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye amewahi kukaa Dog style kwa wanaume wengine Never Uvumilivu huo sina
3 Reactions
8 Replies
61 Views
Mtangazaji wa Radio 47 Kenya, Captain Emmanuel Mwashumbe, ameibua maswali kuhusiana na uamuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na kustaafu siasa kuanzia...
1 Reactions
1 Replies
65 Views
Kama maombi kweli kweli yatatatua matatizo, basi umaskini ungeisha, magonjwa yangeponywa, rushwa ingeisha, na majanga yangezuiliwa kwa kuomba tu kwa bidii. Lakini uhalisia haupo hivyo. Watu...
13 Reactions
87 Replies
643 Views
Ukichunguza vizuri hasa Afrika wajumbe wengi ni wachumia tumbo wakipewa posho tu kwisha habari ni kupitisha tu au kupinga tu hakuna wenye uwezo wakuchakata jambo (tazama wajumbe simba na yanga...
0 Reactions
4 Replies
42 Views
Hizo ramli zangu ......na pm lazima awe timu msoga au mchengerwa
1 Reactions
14 Replies
160 Views
Mimi hapa kuna kitu nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu boss wangu. Kuna muda anaweza kukaa kimya kabisa, hata kazi ikiwa ipo, hanitafuti. Lakini akiona status yangu nimeenda sehemu fulani...
4 Reactions
22 Replies
355 Views
Mwanafunzi wa UDSM , semister imeisha akaamua kubaki Dar kutoa ushamba na kufanya Filed kiwanda cha kusafisha maji taka Tabata Dampo. Pichani ni jioni baada ya taarifa ya Habari , Shem na Mumewe...
6 Reactions
43 Replies
610 Views
Nimeona vijana wakipambana kusoma course mbali mbali, believe me hapa Tanzania hakuna course yoyote utasoma ujiajiri, hakuna na ukifanikiwa kujiajiri inabidi ukaze hasa. Sio mbaya lakini Data...
2 Reactions
5 Replies
96 Views
Edina Chaula (23), mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake baada ya kudaiwa kukosa hewa kutokana na kupaliwa na chakula. Kamanda wa...
3 Reactions
15 Replies
263 Views
Baba mtumishi Tunaomba tuwekewe watafsiri wanaojua kingenge vzuri kwenye kutafsiri kiswa kwenda kinge wasiwe wanabahatisha ama kumumunya mdomo Tunaojua kingereza pekee tunateseka sana kuwaelewa...
4 Reactions
12 Replies
118 Views
Wakuu, siku hizi imekuwa kama fashion — mwisho wa mwezi watu fulani wanajitokeza ghafla kukutafuta, si kwa sababu wanakukumbuka, bali wanatafuta namna ya kukuomba hela kwa ujanja. Utagundua mtu...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
  • Featured
KUSITISHWA KWA LESENI YA GAZETI LA MWANAHALISI KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA (6) Idara ya Huduma za Habari (MAELEZO) inapenda kuujulisha Umma kuwa leseni ya gazeti la MwanaHALISI imesitishwa kwa...
10 Reactions
44 Replies
1K Views
  • Redirect
Ila wanawake sikuizi wanapenda hela jamani. Kama una hela utakula mpaka uchoke.
15 Reactions
Replies
Views
Nimekuwa nikifikiria jambo moja Kama kuna maisha baada ya kifo, je, maisha hayo yanaweza kuwa na matokeo ya namna tulivyoishi hapa duniani? Kwa mfano, kama mtu alikuwa akiwaonea na kuwatesa...
0 Reactions
6 Replies
40 Views
Professor Godius Kahyarara is a Permanent Secretary in the Ministry of Transport. He is a Professor of Economics, and a distinguished alumnus and former academic at the University of Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…