A
Anonymous
Guest
Nauliza, kwanini vitambulisho vya taifa ( NIDA) vinafutika maandishi? Na mamlaka ya vitambulisho hivyo inachukua hatuagani kuhalikisha kwamba vitambulisho hivyo vinadumu?
Vitambulisho vya kura vipo vizuri sana kuliko hivi vya NIDA.
Naomba mamlaka husika ichukue hatua muhimu ili iweze kutoa vitambulisho vyenye hadhi ya NATIONAL IDENTIFICATION CARDS, nakutoa maelekezo ya namna ya hivi vilivyo anza kufutika namna yakupata vipya vyenye ubora mzuri.
Pia soma > Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia (Permanent Ink for Plastic)