Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niwe muwazi, Tangu viongozi mbalimbali CHADEMA walivyoanza kukiri kwamba bila katiba mpya hawawezi kuchukua uongozi wa nchi kusema kweli imani yangu na mapenzi yangu kwa chama hichi imeporomoka...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Umeanguka Babeli. Umeanguka binti sayuni. Ulitarajiwa kuwa furaha kwa wengi lakini harufu ya kidonda chako imeongezeka. Uchungu wako umezidi, ghadhabu na ukali wa upole wako vinatisha. Nzi wengi...
1 Reactions
3 Replies
338 Views
Kama huyu rafiki yangu yuko humu tafadhari nimtumie namba yako PM Nakutafta sana
0 Reactions
14 Replies
873 Views
Wengine wakiumwa na wadudu hao mwili unaumuka sana haijalishi ni sehemu gani ya mwili Wengine wanaumuka ikiwa sehemu iliyoshambuliwa ni usoni pekee Wengine wanaumuka ikiwa wadudu waliomshambulia...
1 Reactions
9 Replies
504 Views
POLISI KUENDELEA KUSIMAMIA USALAMA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA BILA KUJALI ITIKADI: BASHUNGWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea...
0 Reactions
4 Replies
388 Views
https://youtu.be/23QtRyNYoyY?si=NeqYAKxzKpR9T93K https://youtu.be/jG1nesE5JKM?si=h_STHh1C1f7sIBiM
0 Reactions
0 Replies
219 Views
jirani yangu nilimwambia awafungie Ngombe wake waache kuniharibia shamba hakuskia, nikatuma chief na mzee wa mitaa hakuskia, nikatuma baba yake mzazi hakuskia. Mimi nikanunua dawa iko na sumu...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Wote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi, Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
5 Reactions
15 Replies
778 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamuro mkoani Kagera. Taarifa hiyo inakuja siku sita tangu Shirika...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wafahamu Yahoo Boyz vijana wa Nigeria ni wakina nani? Wapo tayari kupata pesa kwa gharama yyte ile. Pitia thread hio ya X kuwafahamu...
0 Reactions
3 Replies
448 Views
Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na wananchi. Ahadi hiyo wameitoa Januari 18, 2025...
1 Reactions
4 Replies
394 Views
Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu. Pakua Samia App kupitia Play...
1 Reactions
6 Replies
325 Views
Zile zama za kuwa na uhakika wa ajira ukiwa na elimu zilishapita kitambo sana. Hali imebadilika mostly kuanzia 2010 soko la ajira za kisomi limekuwa gumu sana, Ajira nyingi inabidi uwe na...
4 Reactions
20 Replies
950 Views
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni...
13 Reactions
138 Replies
9K Views
Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea. Hii ni taarifa njema kwa Tanzania Huu ni msiba kwa CCM Hii...
28 Reactions
76 Replies
3K Views
Na nasikia Mmoja wao Watu hawataamini kuwa nae kafika Bei kwani katikati mwaka jana alipiganiwa na kuonewa mno Huruma lakini huyo huyo kaamua Kusaliti na Kufika Bei. Wengine Wawili waliobakia...
0 Reactions
3 Replies
513 Views
🤣🤣🤣 Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Una maoni gani
9 Reactions
72 Replies
4K Views
Uzi wa kutupia clips na screeshots zinazohusu ishindi wa Lisu tarehe 22/01/2025 Kupitia hapa, pongezi hizi ni muhimu kwa kumbukumbu tutakapompongeza tena hapo Oktoba 2025
2 Reactions
17 Replies
988 Views
Yaani unamdhulumu ama kumtapeli mtu kiasi fulani cha pesa,kiwe kikubwa au kidogo,halafu hakupeleki mahakamani,halafu hakumbushii tena deni analokudai. Halafu mambo yake biashara zake zinaenda...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…