Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama kisemavyo kichwa cha habari kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa yatakayofanyika arusha mjini na yatakua na faida lukuki kwa nchi kama ifuatayo Kutangaza vivutio vya utalii kama...
3 Reactions
8 Replies
431 Views
Uwezo wa kubadilishana mawazo hapa JF ni kutokana na walimu waliyotufundisha somo la mwandiko tukiwa darasa la kwanza! Kwa kuwaenzi nawaomba kila mmoja amtaje mwalimu wake kwa kumuenzi hata kama...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Wakuu msaada Nina mbao pic 650 mninga grade B na C...zimenidodea...zilikuwa Mbezi nimeleta Manzese hali ni ile ile Nifanyaje...wapi naweza pata mtej wa jumla
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Dereva Mwanamke wa gari la mizigo aina ya Copper akitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ameeleza malalamiko yake kuhusu kuzuiwa kwa siku tatu katika mzani wa Vigwaza, akidai kutozwa...
19 Reactions
58 Replies
4K Views
Kuna mda serikali iliyopo madarakani tuna wapima uwezo wenu kwa kuwa changamoto kwenu zipo kisiasa. Leo ni ajabu msululu wa magari ya kubebea mizigo,magari yanayo kwenda mikoani na nje ya nchi...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
Mwanzoni TRC walisema stesheni itaonekana hivi. Hilo jengo refu la ofisi pembeni silioni.
0 Reactions
3 Replies
293 Views
Toka jpili march 16 mkenya aliyepatikana na dawa za kulevya ktk nch ya Vietnam alitarajiwa atanyongwa march 17 saa 8.30 za usku. Hadi kufika Leo sijaona taarifa yoyote kuhusu mkenya huyo na...
2 Reactions
9 Replies
668 Views
1. Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 na nusu alfajiri. 2. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no...
18 Reactions
44 Replies
2K Views
Mimi naomba kujua chimbo la furniture za kichina. Kuanzia makabati ya jikoni, sofa, vitanda NK, pia vifaa vyote vya ujenzi. Kama una number za simu please share . NB, ni ktk kutafuta unafuu wa...
2 Reactions
10 Replies
805 Views
Naombeni msaada wa mawazo wa jinsi ya kupata kingine kama inawezekana. Kumbuka: Uboreshaji wa daftari la wapiga kura bado unaendelea. Mwisho ni Jumapili hapa Daslam Nahofia kwenda kwenye kituo...
4 Reactions
20 Replies
898 Views
Watanzania wengi wamezubaa sana,ni waoga hata wa kujaribu,wamejaa roho ya chuki,na ubaguzi,kazi kuwalaumu tu wanaojiongeza! Hivi mnajua watanzania wanaoenda ulaya, Marekani na Asia kila siku...
3 Reactions
5 Replies
426 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo ya miradi ya...
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Miaka mingi imepita lkn bado kuna tukio moja lilitokea kule Zanzibar miaka ya tisiini linaniacha nikiwaza na kutafuta jawabu bila ya kupata. Mheshimiwa Salim Msabaha alikuwa mwakilishi wa jimbo...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Habari Mwana JF, Kwa uzoefu wa kutosha, miaka mingi, katika tathnia ya ushauri na biashara, nimebaini kwamba kampuni nyingi zimeingia kwenye shida na matatizo makubwa mnoooo, baada tu ya...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Na Jonas Songora Source: http://www.mwananchi.co.tz SERIKALI ya Uingereza inaweza kusitisha kutoa dola za Marekani 212 milioni ilizoahidi katika bajeti ya mwaka 2007/2008 kufuatia kuwepo kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wewe shetani. Kwanini unawaonea watu? Watu wanateseka, hawana kazi, hawana pesa, maisha yamekuwa magumu. Wakitazama TV, wanakutana na habari za vita, mauaji, majanga na dhiki kila mahali. Badala...
13 Reactions
69 Replies
2K Views
Raisi wa marekani ndugu barak OBAMA kasafiri mara 46 tu tangu aingie madarakani mwaka 2009, nimejaribu kuangalia sababu za safari zake sikuona hata moja iliyokuwa na lengo la kuhudhuria mazishi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya inaeleza kwamba Dkt. Liberate Mleoh alipata ajali akitokea Mkoani Songwe kwenye Mazishi ya Ofisa mwingine wa Wizara hiyo. Namfahamu Marehemu, alikuwa Mtu...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari wadau. Leo tujifunze moto wa maajabu ambao waganga wengi wanautumia kutapeli watu wakijifanya moto huo umeletwa na nguvu zao za uganga. Waganga wanachukua pottassium permanganate sababu...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu...
3 Reactions
9 Replies
655 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…