Wenye hii tabia siwaelewi kabisaaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye hii tabia siwaelewi kabisaaa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ZionTZ, Dec 29, 2009.

 1. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Unakuta mtu kakupa lifti kwenye gari yake binafsi, tena wala hukumwomba alafu cha ajabu sasa...barabara nzima anazungumzia mambo ya mafuta, mara oooh nnapokuaga safari huwa nasave hela nyingi sana, mara ooh unajua uzito unavyokuwa mkubwa ndivyo hivyo hivyo gari linavyotumia mafuta mengi sana...sasa mimi nipo humo humo ndani, hivi huwa mnafikiriaje? kama umempa lift mtu mwenyewe inakuaje tena unajisahau kiivyo mpaka unaanza kuongea maneno ambayo yanamkwaza abiria wako..? kwani nani alikwambia umpe lifti....mi naichukia sana hii hali kwa kweli......
   
 2. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Afu siku ya pili akikupa lift unapanda tena! Hapo na wewe tutakuwa hatukuelewi kabisaaaaa!
   
 3. M

  Mwessy Member

  #3
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 20, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Epuka kutengeneza mazingira ya kupewa lift, make wenzio hayo hatujayasikia kabisa.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Dah...
  Kutembea kwa miguu kuna faida kibao, kunachangamsha akili, kuna nyoosha misuli, kunakufanya uwe na afya nzuri, unajionea vitu vingi kwa ukaribu zaidi.
  Kama hauna haraka ya kuwahi uendako, tembea kwa miguuu.
  Kama utakuwa na haraka panda daladala.
  Bora shida ya daladala kuliko masimango ya lifti.
   
 5. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni vizuri kuchangia mafuta kama mtu anakupa lift. Hata kama hajisemeshi semeshi, tafadhali jitolee kuchangia mafuta kama unaweza.
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  ^^ Kwanini anamiliki gari hali hana uwezo wa kulihudumia?
   
 7. b

  bnhai JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Inawezekana anaongea kwa kuwa ndio kitu alichonacho karibu. Sema watu tunatabia ya kujishuku. Tuache kwanza tabia ya kujishuku
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hii kali!!!
   
 9. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Utapandaje ride ya mtu ambaye humfahamu akiwa serial killer je?...inabidi mtu kuwa muangalifu sana,....yaaniw ee mtu anakusimamishia gari anakwambianakupa ride na wewe unaignia tuu na wala humjui huyo mtu?wow!
   
 10. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Binti maringo huyu sio stranger....ni mtu unaemjua kabisa, hapa town kupanda gari la mtu usiemjua ni kazi sana labda wale walioko sokoni wakijinadi lakini si vinginevyo.
   
Loading...