Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama...
Hivi ni kwanini jinsia hii ya kike inajiweka mbali sana na mambo yanayoumiza akili ?
Mfano hata fani mbalimbali zenye matumizi makubwa ya akili kuna asilimia ndogo sana ya wanawake katika maeneo...
Sote au wengi tunajua kwamba kuna mfumo unatumika kuficha maneno ambayo ni matusi mara nyingi kwa kugeuza herufi zote au baadhi ya herufi za tusi hilo kuwa nyota. Mfano mzuri ni kwenye subtitles...
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda...
Mimi nawashangaa sana wanaume wenzangu ambao wanapata hela kwa tabu unabeba zege,unachimba msingi,unabeba tofali,unakuwa saidia fundi halafu ukipata hela unajinyima hata kula mlo mmoja ili...
Ukiwa kwenye jamiii ya kiafrika
Then , ukawa unajua kuongea na kuandika English nzuri sana , automatically unaonekana wewe ni msomi na unaakili sana kuliko wengine , mbali zaidi unaweza...
Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe.
machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati)
Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa...
Pata kujua kuhusu zao la kiungo cha kukumaga katika bara la Zanzibar (Unguja)
Kisiwa cha Unguja kinajihusisha na kilimo cha viungo hali maarufu kama (spices)ambapo kimefanyika kwa ajili ya...
Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka.
Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye...
Wana jamii nadhani mko poa.
Leo kuna nataka kusema maneno machache sana yenye faida kubwa sana.
Ndugu zangu kama tunatafuta furaha za kweli hapa duniani ebu tujaribu kusaidia wasio jiweza kwa...
Mwezi septemba maka jana Umoja wa wanafunzi wa jumuiya ya Afrika mashariki walikuwa na mkutano mkuu katika chuo cha Nelson Mandela Institute of Science and technology ambapo uchaguzi ulifanyika...
Hivi nchi kama Uingereza, Marekani and the rest of the western world, bidhaa zao wanauza wapi?
Kwanini nauliza hivyo: Hapa tanzania sioni kitu chochote MADE IN UK, USA, SWEDEN NORWAY DENMARK ETC...
Hili linaweza kuwa jipya kwako... Hata visivyo na uhai kwenye ulimwengu wa roho vina yoho..
Kimojawapo ni pesa ama fedha, ukipenda ziite shekeli.. Ni wazi umeshawahi kusikia watu wakisema...
Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati...
Wakuu kama ujumbe unavyosomeka hapo juu.
Niliweka vyeti original kwenye academic qualification na nikawa naomba kazi bila shida na kuitwa kwenye interview bila shida yoyote. Ilifika kipindi...
Habari wakuu Kuna hii habari ya serikali inataka kuja na jamii namba. Sasa wakati naangalia UTV habari kwenye maelezo ya hiyo jamii namba umeme ulikata kwahiyo sikuielewa. Na hapa nimekuja kuona...
Kwakuwa kipato changu hakiniruhusu kununua maji ya kunywa, nimechukua hatua zifuatazo:
1. Kununua water dispenser na chupa zake 2, nikiweka chupa moja ya pili inabaki kuwa spea.
Pia nimenunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.